RED BRIGADE watembeza kichapo kwa Mgombea wa CCM

kuna haja ya jeshi la polisi kuwajibika kama wanapewa taarifa za uhalifu then hawazifanyii kazi ni jambo la kusikitisha! au ni muendelezo ule ule wa jeshi la polisi kutumiwa na wenye fedha!?

kwani bongo tuna polisi?Kuna wauaji wa raia tu!!,wanahasira coz mishahara midogo na maisha magumu yanawatafuna ndo maana hasira zao wanazimalizia kwenye kupiga,kujeruh na kuua raia.Bye
 
Back
Top Bottom