RED BRIGADE watembeza kichapo kwa Mgombea wa CCM

Kwa hali ya kisiasa iliyopo ni kwamba Red Brigade ni muhimu.CCM wanatumia Green Guard kutisha wafuasi wetu halafu hakuna anayelalamika na polisi wanawalea tu.Sasa itabidi CCM tuende nao kwa hoja katika mapambano rasmi na yasiyo rasmi.Watake wasitake

kitufe cha Like kimetoweka ghafla ila nimeipenda comment yako. LIKE
 
Suala la kujichukulia sheria mkononi si la kushahabikia mtu anaweza kuuawa kwa majungu, kubambikiwa kesi au propaganda za kisiasa tu. Ninashauri Polisi wawakamate hao vijana waliompiga huyo mgombea na kama wao wanauthibitisho kwamba alitoa rushwa basi wangefuata utaratibu.

Kwa nini wasubiri msaada wa polisi kwa suala ambalo liko ndani ya uwezo wa wananchi? Walichokosea ni kwamba wangemvalisha tairi na petrol juu ili kuwa fundisho kwa wanamagamba wote.
 
Wewe whacha stori yako kama ni huyu me ninayemsikia anaitwa jack masamaki anafahamika sana huku chuoni kwe2,na anamupesa ya kutosha kama serikali yangu isivyopenda wa2 wenye mupesa wapate shida sidhani kama mtamkuta mnako waza..
 
mtadhubutu kwani hamjui kufa nyie acheni kudanganya watu kigoto wanakaa polisi siyo wapoiga kura[/QUOTE

Unawafahamu polisi wa Mwanza wewe au unaropoka tu...Yaani wale ni CDM damudamu.Nenda pale mwoloni uone mambo...vijana wamechonga jeneza la kuizika CCM trh 01 na wanakesha pale kulilinda...limefunikwa bendera ya CCM na polisi hawana time.
 
wewe hujui maana ya polisi jamii?kamata mhalifu popote walipo wananzengo sulubu usiue na peleke polisi suburi hatua on the spot,na kama polisi wakileta zingu siku nyingine malizeni hukohuko,hiv wewe uafikiri walijichukulia sheria mkononi!!!wakiibebaje mkononi,si walimpeleka polisi au wewe ulifikiri wafanye nini?think twice

Huku kushabikia uharifu kama huu wa Red guard kuna siku itatugharimu amani ya nchi hii!
 
kuna haja ya jeshi la polisi kuwajibika kama wanapewa taarifa za uhalifu then hawazifanyii kazi ni jambo la kusikitisha! au ni muendelezo ule ule wa jeshi la polisi kutumiwa na wenye fedha!?
 
Haya majeshi ya vyama sijui Red Brigade, Janjaweed, Blue Guards muda si mrefu yatakuwa janga la Taifa.

Uliloandikwa ni kweli kabisa lakini tumefika hapa tulipo kwasababu jeshi la polisi linabehave kama idara ya CCM so vyama vingine vinatafuta namna ya kujilinda. Yakitokea uliyotabiri lawama ni kwa CCM na Jeshi lake la Polisi.
 
Kwa hali ya kisiasa iliyopo ni kwamba Red Brigade ni muhimu.CCM wanatumia Green Guard kutisha wafuasi wetu halafu hakuna anayelalamika na polisi wanawalea tu.Sasa itabidi CCM tuende nao kwa hoja katika mapambano rasmi na yasiyo rasmi.Watake wasitake

Mkuu Ben nadhani kama walivyokaa kwenye mchakato wa katiba inabidi vyama viketi chini na kukubaliana kuvunja haya makundi ya kijeshi. Haya makundi hayana tija kwa jamii ya watanzania. Intarahamwe nayo ilikuwa kama Green Guard.

Polisi wapewe elimu ya uraia ili watende haki badala ya kila mtu kutaka kujitendea haki kwa kutumia Guards wao.
 
Back
Top Bottom