Record Me software ya simu

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Wana JF habari za asubuhi; kuna rafiki yangu kanambia kuna software inaitwa Record Me ambayo unaweza uka install kwenye cmu yako au mwenzio ukarecord conversation na msgs zote.

Naomba input zenu kuhusu hili especially those who have used it before..
 
kama humwamini mshit kwani wewe ulimkuta mwanawali au wewe ulikuwa hujawahi toka hapa upupu
 
hamjajibu swali...wote munapiga 2 kelele....nani kawambia nataka kurecord?? read the post carefully!!
watu wengine bwana...msijifanye munajua sana mambo
 
Jamaa hawakuelewi aisee.
Anyways, kama unatumia nokia nenda kwenye nokia store (Ovi) utafute na kudownload kitu inaitwa "Rseven", hiyo ni mwisho wa matatizo.
Utaitumiaje, kurekodi simu ya mkeo sijui demu au nyumba ndogo hiyo ni juu yako. Wasikufuatefuate siyo?!
Kama hutumii nokia mjomba sina msaada...
 
Back
Top Bottom