Record management

Kweli unafaa kukaa reception, kampuni yangu ikianza kazi ntakutafta!!
 
yan weacha2,,nmecheka lakin bas2

Jamani huyu dada sio kosa lake hebu ona kumbe kaingia jana tu ndio maana karibu sana tatizo hukupiga hodi umeingia kimya kimya usirudie tena ina maana ungeambiwa na mengine ungekuwa tayari mwe! ukienda ugenini piga hodi dadaa

Join Date : 26th March 2013
Posts : 3
Rep Power : 0

Likes Received 0
Likes Given 0
 
Jamani huyu dada sio kosa lake hebu ona kumbe kaingia jana tu ndio maana karibu sana tatizo hukupiga hodi umeingia kimya kimya usirudie tena ina maana ungeambiwa na mengine ungekuwa tayari mwe! ukienda ugenini piga hodi dadaa

Join Date : 26th March 2013
Posts : 3
Rep Power : 0

Likes Received 0
Likes Given 0

ujumbe wako haujamfikia ukumbuke sio yeye aliyetuma hiyo post, ila ni anthony kweka.
na hii inaweza ikawa kanjanja vilevile.
 
ujumbe wako haujamfikia ukumbuke sio yeye aliyetuma hiyo post, ila ni anthony kweka.
na hii inaweza ikawa kanjanja vilevile.

Mkuu kuna e mail ya huyo dada chini
lakini usemacho chawezekana kabisa.
 
ujumbe wako haujamfikia ukumbuke sio yeye aliyetuma hiyo post, ila ni anthony kweka.
na hii inaweza ikawa kanjanja vilevile.

Ujumbe ume mfikia kwani ukiangalia vizuri ile post ya kwanza ambayo alitakiwa aweke picha user name ni ANTHONY KWEKA na hii ya mara ya pili user name ni ANTHONY KWEKA ila jina lake halisi ni ZAITUN A. ULOTU
kwa kifupi user name ni ANTHONY KWEKA na jina halisi ni ZAITUNI A. ULOTU
 
Hi people its my own a/c but nimepost kwa niac ya ZAITUNI A. ULOTU.
Kwani yeye hajajiunga humu.
Na email ndio yake mwenyewe.
Ok mida mida ntapost no zake
 
We ANTONY.KWEKA acha usanii bwana ..huyo dada alikupiga kibuti nin? Ndo umeamua kumuaibisha kwa stail hyo ...muonee huruma hata kama amempata mwimgne ...wewe mda wako umeisha
 
Jamani huyu dada sio kosa lake hebu ona kumbe kaingia jana tu ndio maana karibu sana tatizo hukupiga hodi umeingia kimya kimya usirudie tena ina maana ungeambiwa na mengine ungekuwa tayari mwe! ukienda ugenini piga hodi dadaaJoin Date : 26th March 2013Posts : 3Rep Power : 0Likes Received 0Likes Given 0
hata me naona mweeee
 
pamoja na ugeni,ama vip tutoe msaada jamani kwa yeyote mwenye mawazo au access na alichoomba msaada amsaidie!!

aangalie kwenye ile post ya kwanza tushamwelekeza kuna zile za utumishi na nyingine za CWT ajaribu, pia mimi bado namlaumu Anthony Kweka kwa nini aje amuanike mwenzake humu jf? kwani jf 50% ni kweli 50% ni udaku pia naungana na yule aliye comment kama alikuwa mpenzi wake na amempiga chini, inawezekana ikawa hivyo kwani nimejaribu kugoogle ni kweli ZAITUNI ULOTU amemaliza TPSC TABORA DRM, na kwenye FB hiyo picha ni Profile yake na wamepiga wote sasa kwanini yy ame edit picha na ameacha ya mwenzake si angeacha kama ilivyo ili na yeye ajianike humu, pia ukiangalia marafiki wake wa FB huyo ANTHONY KWEKA yupo na wamepiga picha ya pamoja na inaonyesha hata sekondari wamesoma wote dhahiri walikuwa wapenzi na wameachana, na huyo anthony kweka katumia jina hili hili na kama ni kweli inaonekana mwajiriwa wizara ya elimu sasa yy anashindwa kumtafutia mwenzie kazi hadi aje kumuanika humu? hata kama wameachana siyo kiivyo au ndio ugeni maana inaonekana JF kaingia tarehe 26 March 2013, sasa sijui ni ushamba au kihelehele, namuonea huruma mwanamke mwenzangu huko aliko, hata hajui kinachoendelea JF kuhusu yy
 
naitwa zaitun a. Ulotu
ninaishi gongolamboto.
Nina diploma ya fani tajwa hapo juu niliyoisomea na kupata ktk chuo cha uwazili tabora 2011.
Nimefanya kazi za kujitolea na sasa ninahitaji kazi ya kuajiriwa.
Pia naweza kazi za mapokezi 'receptionalist' na secretary
kwa mawasilano.
zaituniulotu@yahoo.com

una boyfriend?? Nimetokea kukupenda gafla.. Naomba uwe mpenzi wangu.. Nipo g/mboto pia. Nitumie pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom