Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

Mimi nilidhani wanajeshi wa TZ wameshakwenda tayari??
Kwani hao M23 huko DRC wanafanya nini?? hebu waondoke haraka sana wanawake na watoto wa Kivu wapumuwe ndani nchi yao...
 
Am still trust on JWTZ ikiwa hao sponsors wao hawana uwezo kwa JWTZ na sembuse hako kakikundi. Sasa ndo muda mzur kwa JWTZ kuaaply yule matizi tunayoyaona kwenye sherehe pale taifa.
Viva JWTZ kanyaga twende, mpaka na wafadhili wao wajitokeze hadharan.

Mkuu kila Mtanzania ana imani na umahili wa JWTZ, tunacho zungumzia hapa ni usalama wao; tusije tukajidanganya hapa kwa kusema M23 ni walevi ni kiasi cha kuwasukuma tu watahanguka, mkuu hawako peke yao - M7 na Kagame hawapendi kabisa nchi za SADC kuingilia kati mgogoro wa DRC kwa kuwa wao wanafaidika nao, nakuhakikishia hata barua hii walio mu-address JK itakuwa imetokana na ushauri wa M7 au Serikali ya Rwanda - M23 hawana ubavu wa kuandika barua ya vitishao kwa Rais wa JMT wanatumika kama rubber stamp tu; alafu kumbuka wakati fulani majeshi ya Uganda na Rwanda yaliwahi kupigana wenyewe kwa wenyewe nchini DRC!! Cha kujiuliza kuna nini DRC mpaka wafikie hatua ya kuto elewana - mtu uwezi kujua wana mpango gani kuhusu majeshi ya SADC msifikili wako dormant, hawa jamaa ni vichwa ngumu sana na wabishi - wamekaa kwa muda mrefu kwenye madaraka yaani hawaheshimu Viongozi wenzao barani Africa, wanafanya wapendalo na kutaka kuleta vurugu zisizo za lazima.

Tusipo kuwa makini yatakuja kujirudia yale yale ya mwaka 1998 ambayo nchi nyingi za Africa zilijikuta zinaingilia kati kumuhokoa Kabira dhidi ya Majeshi ya Rwanda na Uganda tuna uhakika gani kwamba hawawezi kujaribu tena this time ikawa even worse, nilisha sema hawa jamaa ni diehard - yakijitokeza tena basi itafutwe final solution ya kudeal na war lords maboleo once and 4all.
 
Siliogopi onyo la M23 - lakini kwa kweli toka mwanzo nisingependa nchi yetu kushiriki katika suala hili la majirani zetu. Wangezitumia nchi zilizo mbali na DRC.
 
Mimi sina tatizo na jeshi la Africa Kusini, tatizo langu ni jeshi la Malawi tusipokuwa makini jamaa hawa wanaweza ku-side na M23 na kusaliti jeshi la TANZANIA na South Africa hasa hasa la Tanzania, kumbukawe're not in goodbooks na Malawi, alafu jamaa hawa tangu vita vya ukombozi walikuwa ni wasaliti tu. Kwa nini JK hajalingamua hilo, hawakatae Jeshi la Malawi 4security reasons hawa jamaa watafuta kila njia kutaka kutukomoa wanaweza kupenyeza ma-Commando wa Rwanda au Uganda wakaleta matatizo kwa vikosi vyetu. JK please rethink about Malawi Jeshi these guys are no Tanzanian Jeshi bedfellow.

Alafu kitu kinacho nishangaza, sijuhi kama Jeshi la South Africa limefanya utafiti wa kutosha kuhusu watu walio husika ku-ambush kambi la jeshi lao huko Central Africa nina uhakika lili aliwezi kuwa ni jeshi ya Waasi, kwa nini hawakuvamia vikosi vingine kutoka mataifa mengine - why pick on South Africa, mimi nafikili zile zilikuwa ni njama za kujaribu kutisha Jeshi la Africa Kusini ili wasipeleke wanajeshi DRC hii itakuwa ni mipango ilisukwa mahususi ku-intimidate jeshi na public opinion in S.A, kumbuka Uganda na DRC/Rwanda hawako mbali na Central Africa. Kitu kingine kilicho nishangaza ni kile Jeshi la africa kusini kutumia Uwanja wa ndege wa Entebbe kwa kupeleka wanajeshi na zana za kivita! South Africa inawezaje kuamini jeshi la Mseveni la Uganda wakati wakijua M7 na Kagame lao moja linapokuja swala la DRC - thata was a tactical error in my opinion - nashauri Africa Kusini watumie Uwanja wa ndege wa Mwanza au Tabora. Don't underrate M23 there not alone na barua ya kwenda kwa JK/Bunge msifikili wameandika M23 wenyewe the brains behind this scam ni mtu/watu wengine kabisa M23 wametumika kama rubber stamp tu.

You are very right ,and that's what I was thinking about. Swali langu ni kwa nini M23 waionye Tanzania na siyo Malawi au S. Africa? Hiyo ni kama unavyosema wanaotoa onyo siyo M23 it might be Rwanda or Uganda. Lakini pia nchi hizi zinaufahamu mgogoro wetu na Malawi so they can use this to align na kutuhujumu kwa Malawi as far wananufaika na vita vya Congo. Lakini pia kwa nini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wateue Tz, S. Africa na Malawi kupeleka vikosi Congo huku wakijua kuwa Tz na Malawi tuna mgogoro. Swali nini malengo ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya mpango huu? Hivyo tunapaswa kuwa makini sana katika kutekeleza jambo hili.
 
Huu ni mkwara tu kwakuwa wanajua kwamba JWTZ ikiwamo ndani ya kikosi cha kulinda amani basi wamekwisha.

Jeshi letu la ulinzi liko imara sana na haliwezi kubabaishwa na waasi wa M23 hata kama wanaungwa mkono na Rwanda na Uganda!
 
Pamoja Sana Kiongozi.

Nyerere alikuwa anaungwa mkono na wananchi wake wote kwani hakuwagawa , sasa huyu mkwereee hana backing ya wananchi wote kwani amewagawa kwa misingi ya dini zao mpaka huko jeshini; hivyo morale ya kupigana kama jeshi moja kwa wanajeshi iko chini sana na matokeo yake ni kichapo!!
 
Mwisho wa Kajamaa umefika.......! Kuna scenario moja tunasubiri itokee i.e. M 23 washambulie SADC/UN Force, then casualties wengi wawe from TZ, then counter-offensive ifanyike halafu M 23 wa-cross border kukimbilia Rwanda. Contingency plan hapo ni JWTZ ku-cross Kagera...!
 
Watu wengi wanajidanganya hapa. Wanaona tunaweza tukawapiga M23 kirahisi.. M23 wanayajua mapori ya DRC nje ndani-haitakuwa rahisi kama wengi wanavyodhani. Kuna uwezekanao mkubwa wa kikosi hicho kuchezea kichapo cha fedheha!
Kujua mapori ndio kushinda vita? Hivi vitoto vya form four baada ya jk kuingia madarakani vinatia kinyaa
 
Huu ni mkwara tu kwakuwa wanajua kwamba JWTZ ikiwamo ndani ya kikosi cha kulinda amani basi wamekwisha.Jeshi letu la ulinzi liko imara sana na haliwezi kubabaishwa na waasi wa M23 hata kama wanaungwa mkono na Rwanda na Uganda!
Nimemis ile thread ya Invizibo iliyomhusu Shimbo
 
Mkuu kila Mtanzania ana imani na umahili wa JWTZ, tunacho zungumzia hapa ni usalama wao; tusije tukajidanganya hapa kwa kusema M23 ni walevi ni kiasi cha kuwasukuma tu watahanguka, mkuu hawako peke yao - M7 na Kagame hawapendi kabisa nchi za SADC kuingilia kati mgogoro wa DRC kwa kuwa wao wanafaidika nao, nakuhakikishia hata barua hii walio mu-address JK itakuwa imetokana na ushauri wa M7 au Serikali ya Rwanda - M23 hawana ubavu wa kuandika barua ya vitishao kwa Rais wa JMT wanatumika kama rubber stamp tu; alafu kumbuka wakati fulani majeshi ya Uganda na Rwanda yaliwahi kupigana wenyewe kwa wenyewe nchini DRC!! Cha kujiuliza kuna nini DRC mpaka wafikie hatua ya kuto elewana - mtu uwezi kujua wana mpango gani kuhusu majeshi ya SADC msifikili wako dormant, hawa jamaa ni vichwa ngumu sana na wabishi - wamekaa kwa muda mrefu kwenye madaraka yaani hawaheshimu Viongozi wenzao barani Africa, wanafanya wapendalo na kutaka kuleta vurugu zisizo za lazima.

Tusipo kuwa makini yatakuja kujirudia yale yale ya mwaka 1998 ambayo nchi nyingi za Africa zilijikuta zinaingilia kati kumuhokoa Kabira dhidi ya Majeshi ya Rwanda na Uganda tuna uhakika gani kwamba hawawezi kujaribu tena this time ikawa even worse, nilisha sema hawa jamaa ni diehard - yakijitokeza tena basi itafutwe final solution ya kudeal na war lords maboleo once and 4all.

At operational level hii vita ilishaanza kitambo sana....ndio maana kulikuwa na uchelewevu wa kupelekwa vikozi kule Kivu. Rwanda tayari anajua plan B ya vita nini kwake..!
 
Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC


Posted Saturday, April 13 2013 at 10:12
SHARE THIS STORY

0
inShare
The rebel M23 movement has asked Tanzania to scrap plans to contribute troops to the future UN intervention brigade which is designed to fight armed groups in the eastern Democratic Republic of Congo. The M23 rebels, who deny UN expert claims that neighbouring Rwanda and Uganda support them, "have consistently prevailed over much larger and better equipped forces," the movement's political leader Bertrand Bisimwa warned in a letter to Tanzanian President Jakaya Kikwete dated April 11. "The same will happen to the Intervention Brigade if your wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks," Bisimwa wrote. "For this reason the M23 invites the parliament and the people of Tanzania to carefully re-consider this situation and prevail upon the Tanzanian Government... not to send the sons and daughters of this noble nation to engage in an absurd war against their Congolese brothers," he said.

The M23 warned Friday that they would retaliate if attacked by the intervention brigade which would be part of the United Nations Organization Stabilization Mission tasked with protecting civilian populations. On March 28, the UN Security Council unanimously approved the creation of a brigade of more than 2,500 troops with a mandate to conduct "targeted offensive operations" against rebels in eastern DR Congo, a mineral-rich area that has been gripped by conflict for more than two decades. The new UN force in the east is due to consist of three infantry battalions, an artillery company, a reconnaissance company and "special forces".

The troops are being mustered by South Africa, Malawi and Tanzania. It marked the first time that UN peacekeepers were given a mandate to conduct offensive operations. Many rebel movements and armed tribal militias are active in the east of the country. M23, named for a peace deal with the government signed on March 23, 2009, emerged out of an ethnic Tutsi mutiny in the army in April 2012, on the grounds that Kinshasa was not upholding the pact. The rebels briefly seized the North Kivu provincial capital Goma in November last year. In a letter dated April 3, the M23 had already urged the South African parliament to not contribute troops to the brigade. The Congolese foreign minister Raymond Tshibanda said the brigade would be deployed by the end of April, but the United Nations expects it to be operational in several weeks

Source: Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC - Africa - nation.co.ke

...why is it that only 3 countries are involved in this UN battalion??..by the way...since when are the M23 rebels bacame a threat to TZ??..or what were the motives behind TZ being involved in this???.....I'm always shocked by the way JK tries to solve other nations' problems....while back home in TZ he is faced with a mountain of issues to be solved by his government....Now he (JK)is sending TZ forces to be involved in this...what if our soldiers die there?...or if M23 rebels decide to invade Kigoma...to show their anger to TZ!...will it not led into full confrontation with TZ??....TZ should be aware that...even Rwanda will not be pleased by this decision to send our troops to take part in the UN force...I would urgue our leaders to think twice on this....we have alot of issues at home.....we even have unsolved lake Nyasa issues with Malawi.....and we now want to get involved with rebels.....TZ should take an example of Kenya....they got involved in somalia..because their people were killed by somalians in their borders....why didn't TZ send their soldiers there too????....what have M23 rebels done to TZ.....for us to go there and get involved with them??...We in TZ already know how shortsighted are our leaders on various issues at home....
 
Rais wetu na Kagame hawana mahusiano mazuri na hii si tu kusemwa hapa hata duru za kimataifa zinaonesha hivyo!
Kagame pamoja na mazuri yake lakini anatawala kwa mkono wa chuma!
Kagame na Museven wanajua hawana la kuificha Tanzania na JWTZ linaweza kwenda vitani hata na majirani wote waliotuzunguka na tukashinda (ukubwa na uwezo wa jeshi unatoa kiburi hicho)
Changamoto aliyonayo Rais Kikwete ni kurudisha umoja na uzalendo wetu,vitendo vya wazi vya kihuni kisiasa vinavyoendeshwa na CCM vinatugawa mno na kuhatarisha hata usalama wa ndani!
Nadhani muda muafaka tuheshimu democrasia na Rais atangaze wazi ni marufuku Vyombo vya dola na watendaji wa serikali kufanya siasa za CCM na ikibainika TISS wawashughulikie mara moja!
Uwezo tunao ila uzalendo na umoja si ule wa enzi ya Mwalimu!
 
Mimi sina tatizo na
jeshi la Africa Kusini, tatizo langu ni jeshi la Malawi tusipokuwa
makini jamaa hawa wanaweza ku-side na M23 na kusaliti jeshi la TANZANIA
na South Africa hasa hasa la Tanzania, kumbukawe're not in goodbooks na
Malawi, alafu jamaa hawa tangu vita vya ukombozi walikuwa ni wasaliti
tu. Kwa nini JK hajalingamua hilo, hawakatae Jeshi la Malawi 4security
reasons hawa jamaa watafuta kila njia kutaka kutukomoa wanaweza
kupenyeza ma-Commando wa Rwanda au Uganda wakaleta matatizo kwa vikosi
vyetu. JK please rethink about Malawi Jeshi these guys are no Tanzanian
Jeshi bedfellow.

Alafu kitu kinacho nishangaza, sijuhi kama Jeshi la South Africa
limefanya utafiti wa kutosha kuhusu watu walio husika ku-ambush kambi la
jeshi lao huko Central Africa nina uhakika lili aliwezi kuwa ni jeshi
ya Waasi, kwa nini hawakuvamia vikosi vingine kutoka mataifa mengine -
why pick on South Africa, mimi nafikili zile zilikuwa ni njama za
kujaribu kutisha Jeshi la Africa Kusini ili wasipeleke wanajeshi DRC hii
itakuwa ni mipango ilisukwa mahususi ku-intimidate jeshi na public
opinion in S.A, kumbuka Uganda na DRC/Rwanda hawako mbali na Central
Africa. Kitu kingine kilicho nishangaza ni kile Jeshi la africa kusini
kutumia Uwanja wa ndege wa Entebbe kwa kupeleka wanajeshi na zana za
kivita! South Africa inawezaje kuamini jeshi la Mseveni la Uganda wakati
wakijua M7 na Kagame lao moja linapokuja swala la DRC - thata was a
tactical error in my opinion - nashauri Africa Kusini watumie Uwanja wa
ndege wa Mwanza au Tabora. Don't underrate M23 there not alone na barua
ya kwenda kwa JK/Bunge msifikili wameandika M23 wenyewe the brains
behind this scam ni mtu/watu wengine kabisa M23 wametumika kama rubber
stamp tu.

dah! we jamaa ni mchambuzi wa haya masuala eeeeenh! nimeielewa sana coment yako, nashukuru kwa kunifumbua macho...umakini unahitajika sana
 
You are very right ,and that's what I was thinking about. Swali langu ni kwa nini M23 waionye Tanzania na siyo Malawi au S. Africa? Hiyo ni kama unavyosema wanaotoa onyo siyo M23 it might be Rwanda or Uganda. Lakini pia nchi hizi zinaufahamu mgogoro wetu na Malawi so they can use this to align na kutuhujumu kwa Malawi as far wananufaika na vita vya Congo. Lakini pia kwa nini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wateue Tz, S. Africa na Malawi kupeleka vikosi Congo huku wakijua kuwa Tz na Malawi tuna mgogoro. Swali nini malengo ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya mpango huu? Hivyo tunapaswa kuwa makini sana katika kutekeleza jambo hili.

Well said mkuu, hawa jamaa wamejipanga kufanya hujuma wana usongo sana na Jeshi letu/Tanzania kufuatana na msimamo wetu; niliwahi kuhuliza hapa hivi wahusika wamejaribu kupeleleza kihundani nani walihusika kuvamia kambi ya jeshi la Africa Kusini nchini Central Africa mbona kulikuwepo na kambi ya majeshi kutoka nchi tofauti kwa nini walihamua kuhujumu jeshi la Africa Kusini tu! Hii ilikuwa a well organised hujuma iliyokusudiwa kutisha nchi ya SADC ambazo zinakusudia kupeleka Wanajeshi DRC, waasi wa central Africa hawahusiki kabisa i.e hawakuwa na motive yoyote kuhujumu majeshi ya Africa Kusini, wenye usongo na majeshi ya SADC ni Uganda, Rwanda/M23 and 'am telling U moja ya nchi hizi ndio walituma ma-commando kuwaua wanajeshi wa Africa Kusini emass wakiwa kambini, walitekeleza mauaji haya 4 a reason namely to instill FEAR/Terror - kwa mawazo yao finyu wanafikili hilo tu litafanya Nchi za SADC kufikilia mara mbili kabla hawajapeleka majeshi yao huko DRC, plan yao inaonekana ku-backfire kwa kuwa Africa Kusini na Tanzania watapeleka vikosi vyao DRC regardless ya hujuma walizo fanyiwa ndani ya Central Africa consequently wakaja na plan B ya kuwa andikia Barua ya vitisho Mh. JK na Mh.Zuma, wahusika wakuu wa barua hiyi siyo M23 hawa wanatumika tu kama his Master's Voice. Ninayo zungumza humu sina shaka Military top brass wa Tanzania na South Africa wanayafanyia KAZI, chonde chonde tusije tukajikutatunakula MABUA - chunga sana.

Kitu kingine Jeshi la Malawi halikuwemo katika list ya kwanza, one may ask nani kalingiza na kwa madhumuni gani? Kwani walikuwa hawajuhi sisi na Malawi hatuhivi!! Jibu ni kwamba kwa sasa hivi kuna mama fulani kutoka Rwanda ambaye yuko umoja wa mataifa, kumbukal Rwanda kwa sasa hivi ina kiti katika mambo yanayo husika na usalama Umoja wa Mataifa I suspect she's the one pulling the strings, yuko capable kweli kweli wakati fulani alikuwa yuko beneti/anashirikiana na a former Balozi wa USA katika Umoja wa Mataifa one Susan Rice, wakina mama hawa walikuwa wanafanya mambo ya ajabu! Rice alikuwa anahikingia Kifua Rwanda kwenye mambo mengine ya kushangaza, lakini watu wenye akili zao walijua ni kitu gani kinaendelea behind the scene, bahati nzuri Mungu kamuondoa katika kiti chake Balozi huyo RICE bila kutegemea!!

Mimi kama mzalendo ningemshauri Rais Mh.JK na Mh.Zuma wakatae jeshi la Malawi kuwemo kwenye task FORCE hiyo, watoe sababu zao za msingi kukataa jeshi la Malawi - mbona mwanzo lilikuwa limependekezwa jeshi la Msumbiji, kuweni makini/macho na Malawi/Uganda/Rwanda-M23.
 
Ngoja tuoni jinsi wanajeshi wetu wanavyoweza kupambana na wenzao maana kila siku tunasikia wameua raia wenzao..Lile Jeshi la Magaidi liitwalo Policcm likiongozwa na Kamanda Ahmed Msangi litangulizwe mstari wa mbele maana limekithiri kuua raia kwa risasi sasa kazi imepatikana peleka wakakamuliwe M..Vi na wanaume huko.


Sijui hata hawa jamaa huko wanaenda kutafuta nini kama sio aibu ya karne!?......MAJAMBAZI katika mapori ya TANZANIA yanawashinda mpaka safari za abiria kwa kutumia mabasi usiku hakuna,ndio wataweza kushindana na waasi kweli hawa,wanatafuta aibu tu hawa jamaa!
Mi nadhani wangeanza na kuweka amani katika nchi yetu MABASI yakawa yanasafiri 24 hours kwa amani kabla ya kujipendekeza kwa nchi nyingine kama DR Kongo.
 
Isalia

Unafikiria kwa kutumia makalio wewe ndio maana unaandika ujinga wako humu jf

Hivi mods hawa wengine ni kuwatoa tu make hawana lolote humu
 
Back
Top Bottom