Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

Mkodoleaji

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
458
138
Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC


Posted Saturday, April 13 2013 at 10:12
SHARE THIS STORY

0
inShare
The rebel M23 movement has asked Tanzania to scrap plans to contribute troops to the future UN intervention brigade which is designed to fight armed groups in the eastern Democratic Republic of Congo. The M23 rebels, who deny UN expert claims that neighbouring Rwanda and Uganda support them, "have consistently prevailed over much larger and better equipped forces," the movement's political leader Bertrand Bisimwa warned in a letter to Tanzanian President Jakaya Kikwete dated April 11. "The same will happen to the Intervention Brigade if your wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks," Bisimwa wrote. "For this reason the M23 invites the parliament and the people of Tanzania to carefully re-consider this situation and prevail upon the Tanzanian Government... not to send the sons and daughters of this noble nation to engage in an absurd war against their Congolese brothers," he said.

The M23 warned Friday that they would retaliate if attacked by the intervention brigade which would be part of the United Nations Organization Stabilization Mission tasked with protecting civilian populations. On March 28, the UN Security Council unanimously approved the creation of a brigade of more than 2,500 troops with a mandate to conduct "targeted offensive operations" against rebels in eastern DR Congo, a mineral-rich area that has been gripped by conflict for more than two decades. The new UN force in the east is due to consist of three infantry battalions, an artillery company, a reconnaissance company and "special forces".

The troops are being mustered by South Africa, Malawi and Tanzania. It marked the first time that UN peacekeepers were given a mandate to conduct offensive operations. Many rebel movements and armed tribal militias are active in the east of the country. M23, named for a peace deal with the government signed on March 23, 2009, emerged out of an ethnic Tutsi mutiny in the army in April 2012, on the grounds that Kinshasa was not upholding the pact. The rebels briefly seized the North Kivu provincial capital Goma in November last year. In a letter dated April 3, the M23 had already urged the South African parliament to not contribute troops to the brigade. The Congolese foreign minister Raymond Tshibanda said the brigade would be deployed by the end of April, but the United Nations expects it to be operational in several weeks

Source: Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC - Africa - nation.co.ke
 
Serikali ya Tanzania imeonywa vikali kuhusu mpango wake wa kupeleka Vikosi vya Kijeshi kupambana na kundi la waasi wa M23 nchini Kongo DRC. Katika barua yake kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete, kiongozi wa kundi la M23 ameionya vikali serikali ya Tanzania kuhusu mpango wake huo na kuitaka iusitishe mara moja. Aidha kwa mujibu wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa ichi zitakazopeleka vikosi vya kijeshi nchini Kongo DRC ni Tanzania, Afrika ya kusini na Malawi. Source DW Kiswahili katika habari za Afrika mchana huu.
 
wamemuandikia barua kumtaka asipeleke majeshi yake kongo,wakisema akiyapeleka watalipiza kisasi.SOURCE:DDW. mchana huu
 
Lakini kwa Mujibu wa Membe ni kwamba Amani ya Tanzania inategemea sana Amani za mataifa jirani ikiwemo Kongo DRC.

Huo ndio ukweli. Tuache siasa! Ikiwa kama tumejipima na kuamini ya kwamba tunaweza kuwasaidia Wakongo (DRC), je kwa nini tusifanye hivyo?? Kukosekana kwa amani kanda ya Maziwa Makuu ni hatari kwa usalama wetu, Kenya n.k. Ndio maana, pamoja na sababu nyingine, Kenya ilipeleka jeshi Somalia. Pia ni sehemu ya utekelezaji wa malengo ya Milenia, yaani kushirikiana na mataifa mengine katika kuleta maendeleo. Hatuwezi kuishi kama kisiwa. Mungu saidia jitihada zetu zizae matunda.
 
tanzania ndo nchi ambayo iko mstari wa mbele kupigania ukombozi wa bara la afrika, hatuwezi kuwa huru mpaka afrika yote iwe huru, mwl. Nyerere'

Lakini kwa Mujibu wa Membe ni kwamba Amani ya Tanzania inategemea sana Amani za mataifa jirani ikiwemo Kongo DRC.
 
Ngoja tuoni jinsi wanajeshi wetu wanavyoweza kupambana na wenzao maana kila siku tunasikia wameua raia wenzao..Lile Jeshi la Magaidi liitwalo Policcm likiongozwa na Kamanda Ahmed Msangi litangulizwe mstari wa mbele maana limekithiri kuua raia kwa risasi sasa kazi imepatikana peleka wakakamuliwe M..Vi na wanaume huko.
 
Back
Top Bottom