Reax to Jakaya's Speech

Aaaaaaargh! OOSH! This IS AN UNBERABLE stupity bwana! MY BLOOD IS GETTING HOTTER! AND Am suffocating!

Mimi nipo Tanzania ila sio mtanzania! Nchi gani hii yenye watu wlio na vitambi na wengine wanajifia wenyewe.

President msanii analeta comedy na raia wenye njaa! Hivi anajua yaloakumba Tunisia, Egypt na Libya ngoja tusubiri.

Walahi tena! Hataamini atakavyowaachia wazalendo nchi yao wagawane vya kwao! We ngoja tu utaona!
 
:wink2: Aaaaaaargh! OOSH! This IS AN UNBERABLE stupity bwana! MY BLOOD IS GETTING HOTTER! AND Am suffocating!

Mimi nipo Tanzania ila sio mtanzania! Nchi gani hii yenye watu wlio na vitambi na wengine wanajifia wenyewe.

President msanii analeta comedy na raia wenye njaa! Hivi anajua yaloakumba Tunisia, Egypt na Libya ngoja tusubiri.

Walahi tena! Hataamini atakavyowaachia wazalendo nchi yao wagawane vya kwao! We ngoja tu utaona!
 
Watoiondoa serikali madarakani si CDM ila ni Watanzania tuliochoka na ugumu wa maisha ambao hauna nafuu kila siku iendayo kwa Mungu na serikali ya inayoongoza watu kisanii sanii tu

Nipo tayari kushiriki maandamano leooooooo hiiiii!!!!!1
:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:
 
Kikwete kasema kitu kama hichi "wanataka kuiondoa serikali iliyowekwa madarakani kidemokrasia kwa nguvu" hii sentesi ni tamu ina utamau ndani yake nimefurahi hata yeye kaisema pengine bila kujua kama kasema!!!!
 
Back
Top Bottom