Real translator job

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Wana JF,huwa natumiwa mara nyingi kwenye email na hawa jamaa,eti wanahitaji translator online,kwa anaejua hizi kazi za translator zipo kweli?
 
Wana JF,huwa natumiwa mara nyingi kwenye email na hawa jamaa,eti wanahitaji translator online,kwa anaejua hizi kazi za translator zipo kweli?

Achana kabisa na hao jamaa....sio kwamba ni matapeli kwa 100%, hapana....but wao kama wao mara nyingi kama sio zote ukisha-join nao tu, huko unakutana na hizo translation jobs ambazo mara nyingi zinakuwa advertized kweny sites zingine. Likewise, ukisha-join sio ndo guarantee kwamba utapata kazi bali huko una-compete na other members worldwide. Bad enough, many of the advertised translation jobs zinakuwa to/from languages other than Kiswahili ambako ungekosa stiff competition. Mathalani, unaweza kuta anatakiwa translator from (say) Hindi To English....kwamba kuna document in Kihindi na iwe translated into English!!!! Ukiangalia mfano huo, utakuta possibility ya document in KIswahili kutaka iwe translated basi inakuwa very rare! Kama unafahamu languages other than English nad KIswahili, then try your lucky otherwise don' waste your money coz' for what i knw, ili ku-join napo ni lazima ulipe USD$ 34. The only strength kwao ni kwamba malipo yao yanapitia CLICKBANK ambao wana 60 days money back guarantee!
 
i remeber mwl wangu mmoja walimuingiza mjini...wakampa kazi akafanya, baadaye wakaja mwambia hajaqualify but alikuja kuona kazi yake imekuwa published ingawa mwenyewe hawakumlipa.....
 
Back
Top Bottom