Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

Status
Not open for further replies.
Mkuu Jasusi
I completely agree with you Kagame has not and will never be a threat to Tanzania

it is Kikwete who plays around with Tanzanians heads to revitalize his personality

on international forums through undermining Kagame and other nearby head of states and is not acceptable

Kagame na Kikwete wana hulka ya visasi

'll get personal though govt institutions be used 4 either of them to meet his desire
 
Kagame na Kikwete wana hulka ya visasi

'll get personal though govt institutions be used 4 either of them to meet his desire

Nikweli mkuu Bei mbaya.

Lakini huyu wa kwetu anafaraguwa na kagame yake yanamshinda hapa

1. Ameshindwa kuelewana na chadema Arusha, mwanza na mbeya

2. Alishindwa kuelewana na walimu na kutishia kuwapiga, alikataa hata kukaa nao meza moja

3. Alishindwa kuelewana na madakitari na kutishia kuwapiga, alikataa hata kukaa nao meza moja na kumtwanga ulimboka

Huu ujasili wa kumshauri kagame anautowa wapi rais wangu kikwete, iwapo yake hapa nyumbani anayakimbia wala hayasogelei. Huo ndio nauita unafiki wa Rais wetu kujipendekeza kwenye jumuiya za kimataifa yakwake yakimuozea.
 
Hizi ni nyepesi-nyepesi za mtaani na unahitaji kua kichaa kuziamini.
hizi mkuu sidhani kama ni nyepesi nyepesi kama unavyoziita , tena huyu bwana ni mfatilaiaji wa makala mbali mbali kwa ninavyohisi na mkapa naye ndiyo muasisi wa hili . kama kuna mtu anamapenzi ya dhati na tanzania kwa wasio wa tanzania ni KABILA mtoto( raisi wa congo), anawaamini wa tanzania kuliko wacongo man . ukikutana naye hasa kwa wale wanaofanya kazi congo MONUSCO ambao ni watanzania , hafichi kuonyesha furaha yake kwao na kila anapopata matatizo mawazo yake na mtu wa kuya solve ni tanzania na nina fikiri kuna connection ipo na JK ON SOMETHING, later i will tell
 
Kagame will pay the price for instigating genocide in Rwanda following the assassination of the then Rwandese President, Juvenal Habyarimana who was assassinated by the RPF!
President Kikwete has nothing to do with ICC, remember y Kibaki visited Tanzania 2 wks before Kenya election! Kagame is killer he killed Professor Mwaikusa, and theTutsi they think that they were born to rule others.
 
kikwete was just advice, it was not important for kagame to agree, the issue of supporting m23 is known by the whole world stop say bad things to our president, we don't mind
 
Another deviating story from the reality. Inavyoonekana Kagame anakamtandao east africa kanakoweza kumtoa yeyote, lakini wabongo nadhani tulishajua mchezo mchafu wa hawa majirani zetu, so we will see who win the game!
Tunao wamejaa hata hapa bongo, waliposikia tunaanza kuwaoredhesha humu jamvini ndo hao wameanza kujitokeza na stori za ajabu. Mi nasema; go kikwete, go! usiishie kwa wafugaji tu, ingia hadi maofsini. .....Kula wale kwetu, matusi watutukane wao...majanga, No!
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price
Kagame lazima ajue anawaumiza wanyaru wenzake. Kabla yeye hajalipa hiyo price, wanyaru wameshalipa kwa kukimbia na kuacha mifugo yao, mazao na nyumba. Wale walioko dar wanaishi kama digidig hawaonekani tena mitaani. Tabu yoote ya nini?
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price
Kagame and Museven are ICC candidates, we Tanzanian not supprised with the Kenya position on the current stand off between Tanzania and Rwanda.The recently created alliance of the so called axis of evil i.e Kenyata,Museveni and Kagema is the alliance of POWER MONGER aimed at distabilizing one of the fastest growing economy in Africa.
 
"do you mean that, world does not knowing what kagame doing??<let not lie ourselves>"
Not forgetting USA recent position on Rwanda over M23 ,if you can read between the lines Kagame is currently on defensive stategy aimed at avoiding him ans his inner circle being brought to face justice at the ICC
 
Any craim against humanity must be delt diligently! tanzanians stop being shortsighted!
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price
Nairobian,

..there is a saying, "the guilty are always afraid."

..If Kagame was innocent he would never be worried about ICC.

..The fact is the world can not sit in silence while 3 million ppl have perished in DRC.

..Kagame has killed so many ppl in Congo to the point that he can not stop it any more.

..huyu itabidi afie madarakani, lakini akitoka tu ICC watamkamata kama ilivyofanyika kwa Charles Taylor.

NB:

..wa-Kenya kwanini mko so forgetful?

..wakati wa matatizo ya uchaguzi wa Kenya mnajua kuwa Kagame alipendekeza military intervention?

..mmesahau Kikwete alishiriki kusuluhisha, leo mnamuona Kagame na Rwanda ni marafiki kuliko wa-Tanzania??

cc: Jasusi, maishapopote, Mawenzi

..
 
wakenya kwa hili ni kama mazombi hawajui walitendalo kwa kufagilia huyu muuaji PK, M23 ndiyo inampa jeuri ya kuonekana anaweza kusalimia uchumi kumbe ni kibanda wa madini nchini DRC. M23 ndio kwanza wanaondolewa alafu tunamrudishia walalo wake tuone hizo ardhi ya kuwaweka na uchumi wake, Mali wamevuna Kagera alafu yeye anaanzisha ndomo, kuna jamaa pale empresso cinema gorofa ya 2 naye ni wakuchunguzwa atakuwa TRa akafanya madudu wakatimua na nasikia ni mshauri wa kagame naye atimuke
 
andikeni kwa Kiswahili tu jamani tutawaelewa.
Mkuu unajua wengine humu jamvini lugha zote mbili (english and swahili) tunaziweza au zinatuweza. hivyo yuna mwelekeo wa kujaribisha jaribisha ile ambayo hatuiwezi ili hatimaye tuiweze. wazungu wanasema "practice make perfect". du sijui nimekoroga kidogo lakini tuvumiliane.
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price

You know, hawa wakenya ni bmuralz sana, Tangu lini super president akawa snitch, come on?
 
Kagame and Museven are ICC candidates, we Tanzanian not supprised with the Kenya position on the current stand off between Tanzania and Rwanda.The recently created alliance of the so called axis of evil i.e Kenyata,Museveni and Kagema is the alliance of POWER MONGER aimed at distabilizing one of the fastest growing economy in Africa.
Hivi, mtawapelekaje Kagame na Museveni ICC wakati Bashir amewashinda? Tuanze na Bashir. Huyu ameua mamia ya maelfu Darfur.
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price
It's another plausibility.

Naamini Kagame anastahili ICC kama vile na Kikwete anavyostahili pia. Kuuwa raia kwa minajili na faida za kisiasa kunafanyika DRC na pia hapa Tanzania. Hawa wawili wanasimamia utekelezaji wa ukiukwaji mbaya wa haki za kibinadamu mbele ya macho yetu.

Tofauti pekee ni kuwa Kagame kauwa watu wengi zaidi kuliko Kikwete. Ni wazi kama vile Kagame anavyopora maliasili za DRC ni hivyo hivyo Kikwete (yeye, familia yake, rafiki zake na chama chake CCM) wanavyopora rasilimali za Tanzania kila kuikicha huku Watanzania kwa mamilioni wakizidi kuzama katika ziwa la umaskini.

Wahalifu wakubwa hawa, send them to ICC haraka sana.
 
Uganda, Rwanda na nchi za magharibi zimekuwa zikiendesha mauaji ya kutisha nchini Congo kwa lengo la kuendeleza ukwapuaji wa rasilimali za Congo... Congo DRC ndiyo nchi tajiri kuliko zote kwa wingi wa madini! Ndiyo nchi masikini kuliko zote duniani! Mapovu ya Kagame et al tunajua ni hofu ya kukatiwa mirija waliyozoea...kumbuka kuwa nowdays our prezida ndo amekuwa western darling wa kutekeleza miradi ya wakubwa dunia....
 
I don't understand this! JK is the president of the URT, how can it be that he personally pay the so called price? Is Kagame planning something evil for our President?

our presdent?
we semea nafsi yako!
Kwan,hujui kuwa cdm ha2mtambui ba' riz kama rais?
Yeah,he z gona personally pay it..kwan u*** huwa unauza nae?
Au we Azan nin?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom