Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
]
Lakini anaenyooshewa kidole ni yule anaeuza kwa mapesa. Wakati kwa nchi za wenzetu walau wanalipa kodi
:mimba:mwenye kamzigo ndo anakuwaga na ushahidi wote apo...
]
Lakini anaenyooshewa kidole ni yule anaeuza kwa mapesa. Wakati kwa nchi za wenzetu walau wanalipa kodi
Naona kununua siyo vizuri, ila
kutunza ili huduma iendelee kutolewa ni ruksa.
Naona kununua siyo vizuri, ila
kutunza ili huduma iendelee kutolewa ni ruksa.
Na kununua ni urijali...utajiri wa moyo (kumsupport muuzaji) na pia tajiri wa mwili ehhh?!kuuza ngono ni uvivu wa kufikiri na ukosefu wa kujithamini
Homu boyi akajibuHehehe ......nataka hili suala watu watumie fikra zao kujadili.
Mwanamke anaejiuza kwa ajili ya kulea watoto wake na anaegawa bure kwa wanaume yupi bora?
Na yule anaegawa kwa mwanamme kwa misingi ya kumchuna jee yupo katika kundi gani? Au yule anaejua kuwa anachunwa ili apewe penzi yupo wapi hapo?
Na mimi nauliza home boyi kujiuza ni kosa kesheria? au kiiimani? au Kimorally?hapo mwal Gaijin hakuna aliye bora...wote wako kundi hilo hilo tu..
Mwalimu kauliza hivi....
Homu boyi akajibu
Na mimi nauliza home boyi kujiuza ni kosa kesheria? au kiiimani? au Kimorally?
Na kununua ni urijali...utajiri wa moyo (kumsupport muuzaji) na pia tajiri wa mwili ehhh?!
jibu la kununua lipo first post of this thread.... or in the title rather.... real men dont buy sex, once you buy then you are not a real manNa kununua ni urijali...utajiri wa moyo (kumsupport muuzaji) na pia tajiri wa mwili ehhh?!
I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India
It is a very strong and useful statement....I am just trying to define nini maana ya kununua ngono/au penzi
Kuhonga? kulipa changu? kuvizia barmaid na kumlipa pesa for sex? where does this end?.........
Aisee........:smow: