Real Madrid VS Valencia.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Real madrid tunaongoza 1-0,kafunga Higuain dakika ya 10,mpira ni dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
 
Real madrid tunaongoza 1-0,kafunga Higuain dakika ya 10,mpira ni dakika ya 39 kipindi cha kwanza.

Ahsante kwa kunistua ngoja niutafute huu mchezo kwenye TV...Huwa napenda kuwaangalia wale Real Madrid
 
Dakika ya 41,valencia wanachomoa kupitia kwa jonas.
 
Pepe na casillas wamechanganyana hapa na kutugharimu.
 
Haya bana wasubiri hao facebook wako,pepe anapewa matibabu baada ya kugongana na kipa wake.

kama ni mpenzi wa playstation! hawa jamaa wangu wanaitwa playstation, hahaha! pepe kazidi kukaba nae anafikiria iker casilas ni david villa nini
 
Du,valencia wanatukimbiza mbaya,lakini mkubwa mkubwa tu.
 
Back
Top Bottom