Real Madrid vs Barcelona

Status
Not open for further replies.
Wakulala na stress za RM polen sana, wale wa Barca Congrats. JUMAPILI NJEMA
Mimi mmoja wao, sikulala na furaha. Ndio mchezo, kufunga na kufungwa, lakinikufungwa kila mara inauma. Ninafikiria kuwacha kushabikia kichwa cha (mwendawazimu) Barca, kama ambavyo niliwakataa Atletico de Madrid miaka ya 90 ambao walikuwa fan wangu. Baada ya kuona wamekuwa pakacha la magoli nikawakimbia. Na hawa RM ninawapa last chance kule Nou Camp wakati wa marudiano. Wakipachikwa tena...nakimbia kwa usalama wa afya yangu, sitaki stress.
 
nakuomba sana mkuu invisible iweke thread yetu ya barca kama sticky thread na sie barca fans tushare news na views zetu hivi barca domination inaweza fananisha man city kweli daah.. Viva barca bado tunatupia tu kwenye nyavu zao..
 
  • Thanks
Reactions: Aza
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema.

30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer)

42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

46min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

50min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

52min: Real Madrid 1 - 2 Barcelona (OG by Marcelo)

65min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona (Fabregas)

75min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona

87min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona

FT: Real Madrid 1 - 3 Barcelona

Morinyo aanze kubonga upupu wake sasa mwaka jana nyumbani kapigwa sita mwaka huu vi3. Kauli zake mbovu ataziachatu outomatic bila kulazimishwa na mtu bali kwa vitendo
 
dah
ndo naingia leo hapa kitambo,tuko pamoja kama kawaida letu wana nou camp
hahahaaa wikendi imeisha vizuri sana aisee

ivi hii kitu imewekwa "sticky" au nimeongia wapi?

WEKENI BARCELONA STICKY WACHENI WIVU KM MLITOLEWA!!
 
barca is more than burudani...hata kama una vimafua mafua na homa za hapa na pale ukicheki game kama lile lazima upone :lol::lol::lol::lol::lol:
 
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema.

30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer)

42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

46min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

50min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona

52min: Real Madrid 1 - 2 Barcelona (OG by Marcelo)

65min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona (Fabregas)

75min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona

87min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona

FT: Real Madrid 1 - 3 Barcelona


Laiti kama ningepewa u-MOD kwa dk.5 hii thread ningeifutilia mbali, na baadhi ya wachangiaji wangekula BAN
 
Morinyo aanze kubonga upupu wake sasa mwaka jana nyumbani kapigwa sita mwaka huu vi3. Kauli zake mbovu ataziachatu outomatic bila kulazimishwa na mtu bali kwa vitendo
Mourinho hajapata dawa ya Barca.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom