Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,161
Ninasubiri goli la Asensio na Mariano hapo baadae akiingia!
Kikosi kizuri tu, ila ingependeza Kroos angepumzika, jamaa niroho yetu kwasasa!!
Ni kweli Mkuu, ila kama James anajitahid kukaba na kutrack back,tatizo lipo kwa Isco, anajisahau sana!! Ngoja tuangalie kama Leo mambo yatabadilika!!Kikosi kizuri kwenye mechi kama hii, lakini hii combo ya Isco na James kwenye mechi kweli ni lawama. Hii ilikuwa fantasy ya Ancelotti lakini ilifeli. Kroos mwenyewe kasema anaweza kucheza season yote.
Ninasubiri goli la Asensio na Mariano hapo baadae akiingia!
Asantee Asensio, kijana anaendelea kunifurahisha tu!! Tunajenga Madrid ya baadae!!ASENSIO SCORES ON HIS CDR DEBUT !!!!!!!!!![HASHTAG]#HALAMADRID[/HASHTAG]
Kroos ni mpole na anacheza kistarabu sana, ila ukimtibua anapataga moto sio kawaida!! Hicho kipande kimenipita, sema ninajua watarudia tuYellow card for Kroos ....It was unnecessary he is still angry on ref!!!
Duu, ni saa ngapi tumewaogesha hiv hawa wajamaa!! Hapa nimebaki kusikilizia tu uwezekano wa kungalia hii game umeshaisha!!