Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

FULL TIME: Dortmund U19 2-5 Real Madrid U19

CtX0kn5XYAUiCO2.jpg:large
Hawa vijana wa Guti wametuwakilisha vema, hope kaka zao watafuata nyayo za wadogo zao!! [HASHTAG]#VamosReal[/HASHTAG]
 
Ingawa historia inawabeba, sina shaka tutafanya vizur usiku huu!! Ninajua watatuchukulia poa kutokana na game zetu zilizopita, hapo ndio watatusoma!! #We're Real Madrid !!
 
Real Madrid starting XI: Keylor, Carvajal, Varane, Ramos, Danilo, Modrić, Kroos, James, Bale, Benzema, Cristiano.
 
Ingawa historia inawabeba, sina shaka tutafanya vizur usiku huu!! Ninajua watatuchukulia poa kutokana na game zetu zilizopita, hapo ndio watatusoma!! #We're Real Madrid !!
BvB wana majeruhi wengi sana pia ikumbukwe hii sio ile ya klopp mzee wa big games, batra, reus hawatakuwepo, kuondoka kwa gundogan na Hummel's kumeacha pengo kubwa kwao.

Watu wa kuwa angalia sana ni ousmane dembele na Guerreiro

all the best
 
Back
Top Bottom