Innocentinno
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 354
- 312
Kweli kabsa yeye ndo alikuwa analeta balance Ya timuAll in all, We will still suffer consequences for Casemiro's absence on the pitch.
Kweli kabsa yeye ndo alikuwa analeta balance Ya timuAll in all, We will still suffer consequences for Casemiro's absence on the pitch.
Ile sub niliona ilikuwa sahihi kabisa, kwanza ukizingatia kuwa jamaa ametoka kwenye majeruhi ya muda mrefu alaf pia tutakuwa na game nyingine ngumu j4 ijayo dhidi ya Dortmund, na hii pia anataka acheze dk 90, kwa mtu aliyetoka majeruhi kucheza game mbili mfulilizo kwanza baada ya siku tatu ni risk kubwa sana kwa kweli!! Msimu ndio kwanza unaanza na kuna game kibao.Sub ya Ronaldo haikuwa necessary...hata sielewi Zizou aliwaza nini
Endapo wale mafather watapigwa benchi Leo,ushindi lazima ,damu changa zinazohitaji mafanikio wanajituma sana ukilinganisha na hao mapro safu ya ushambuliaji
Zidane: "We always go out to win and that'll be no different against BVB." [HASHTAG]#RMUCL[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Hawa vijana wa Guti wametuwakilisha vema, hope kaka zao watafuata nyayo za wadogo zao!! [HASHTAG]#VamosReal[/HASHTAG]
FULL TIME: Dortmund U19 2-5 Real Madrid U19