Real Madrid Bingwa wa ligi ya Spain - La Liga 2011-2012

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Kwa matokeo ya leo ambapo Real Madrid imekwishafikisha points 94 wakati Barca ina points 87 na imebakia michezo miwili ambapo hata real ikipoteza yote, bado inabaki kuwa bingwa wa msimu huu. Ndoto ya Mourinho imetimia.

Sasa ushindani uko nani atakuwa mfungaji bora.
Messi magoli 46
Cristiano Ronald magoli 44.
Wakti ndio utakaoamua, lakini kuna uwezekano mkubwa kwa Messi kuwa mfungaji bora.
 
Messi magoli 44
Cristiano Ronald magoli 43.
Wakti ndio utakaoamua, lakini kuna uwezekano mkubwa kwa Messi kuwa mfungaji bora.

Safi sana mkuu,

Ni vizuri kubadilisha mboga mara kwa mara ili usiichoke nyumba!!

Best score kwa sasa iko hivi,

Messi magoli 46 (jana alipiga hat trick)

Cristiano Ronald magoli 44.

Babu DC!!
 
Morinho is only one the Special one, Ni kocha pekee ambaye ameweza kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu zinazoheshimika Ulaya katika nchi nne tofauti.

Well Done, Morinho well done Madrid.
 
Safi sana mkuu,

Ni vizuri kubadilisha mboga mara kwa mara ili usiichoke nyumba!!

Best score kwa sasa iko hivi,

Messi magoli 46 (jana alipiga hat trick)

Cristiano Ronald magoli 44.

Babu DC!!
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Asante sana Babu DC kwa masahihisho.
 
Back
Top Bottom