Real Estate specialists.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wana jamii kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu kazi za real estate specialists hapa Tanzania anisaidie hizo taarifa.
 
Hyo ni coz nzuri sana lakn soko lake kwa hapa tz naona kama bado halijapamba moto,ila unaweza kuulzia ktk shirika la nyumba la taifa{NHC}kwa msaada zaidi.
 
Nashukuru kwa msaada.......ngoja nilifanyie kazi ilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom