Read Please!!!!!

halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39

nani akutose mpwa mimi simekueleza msimamo wangu hata kwa kuwa 'wedding crasher' ntakusapoti hahaaaaa!!!
 
Tena I miss you more
Nikunong'oneze Kaizer, Hivi mtu akikumiss pia unamgongea senksi ama?
umekula senksi nyingine kwa namna unavyonong'ona!punguza sauti kiduchu mama!.....
 
uwiii cna mbavu, bht mckilize kijana jamani....anahesabu tu cku.
[/COLOR]
umeonaaaa eeeeeh khaa jameni twafaa!!! kuoa atake yeye sis tubanwe mbavu loh!!!

BTW mimi harusi ndo itahusu.....na wewe pande ipi sasa???
 
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39

Ha!ha!hahaaaa...naona homu boi una nata na beat...kama mzee wa mapiano na mavirungu.......sijui unaenda na 1/2 au 3/4......Kaizer advise beat anayoendanayo jamaa......!
 
Ha!ha!hahaaaa...naona homu boi una nata na beat...kama mzee wa mapiano na mavirungu.......sijui unaenda na 1/2 au 3/4......Kaizer advise beat anayoendanayo jamaa......!
hahahahahaha!
tena anataka kunitosa huyu...
 
nani akutose mpwa mimi simekueleza msimamo wangu hata kwa kuwa 'wedding crasher' ntakusapoti hahaaaaa!!!

bht, please can u organize all ladies around here? I will organize the other side and then we have to meet to deliberate on this IMPORTANT issue!

sawa B? mambo lakini?
 
bht, please can u organize all ladies around here? I will organize the other side and then we have to meet to deliberate on this IMPORTANT issue!

sawa B? mambo lakini?
hahahaha!
naona wapwaaz weeengi sasa hivi wanaingia kama guests wanaogopa mchango!hahahahahahah

wapi x-pin
wapi nguli
wapi fidel80

hahahaha!mtaniua kwa kucheka
simu zenu ninazo
I WILL CALL YOU GUYS
 
umeonaaaa eeeeeh khaa jameni twafaa!!! kuoa atake yeye sis tubanwe mbavu loh!!!

BTW mimi harusi ndo itahusu.....na wewe pande ipi sasa???

nackitika kwamba ctaweza kuhudhuria kabisa, majukumu mami na sie wengine ndio kama hivyo tena huwezi kujiendea tu kila mahali.
 
BIHECHITII najua mwaka huu hatuumalizi lazima wakuchukue jumla jumla,
sasa usiponichangia...........!hahahaha.UNATENGANISHA UKOO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom