Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,267
- 4,713
Turejee nyuma kidogo tujiulize, Tropical Air ni yanani?, tazama juzi meli ya Spice islander ilikomaliwa na SUMATRA punde sumatra wakaambiwa waachane na Zbar na waondoke kurudi bara, meli ilipozama ikaonekana haikuwa na sifa hata ya kukatiwa bima. Tusipuuze observation hizi, chukua tahadhari.