Read and Think of it Very Deep!

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Did you know that those who spend their time protecting others are the ones that really need someone to protect them?

Did you know that when you help someone, the help is returned in two folds?

Did you know that the three most difficult things to say are:
• I love you.
• I’m sorry.
• Help me

Did you know that it's easier to say what you feel in writing than saying it to someone in the face? But did you know that it has more value when you say it to their face?

Did you know that those who appear to be very strong in heart, are real weak and most susceptible?

But don't believe everything I tell you, until you try it for yourself, if you know someone that is in need of something that I mentioned, and you know that you can help, you'll see that it will be returned in two-fold
 
mara nyingi unamsaidia mtu lakini na wewe mwenyewe unahitaji msaada , na mara nyingi tunatumia neno NAKUPENDA, SAMAHANI WAKATI HALITOKI MOYONI, Tunakosea sana inabidi tujirekebishe,
tofauti na wenzetu watu weupe wakisema I LOVE YOU, ni kutoka moyoni
 
unajua tumeumbwa na aibu haswa kwa wanawake hata wanaume baadhi, so ni rahisi kuongea na mtu through msg kuliko face to face, ukiandika unatoa dukuduku lote kuliko ukiongea nae uso kwa uso unamficha mengine huwezi kumwambia
 
Dont ever try to judge pipo from their color
 
unajua tumeumbwa na aibu haswa kwa wanawake hata wanaume baadhi, so ni rahisi kuongea na mtu through msg kuliko face to face, ukiandika unatoa dukuduku lote kuliko ukiongea nae uso kwa uso unamficha mengine huwezi kumwambia

Nimesema yote hapo juu
 
kama halitoki moyoni ni bora ukae kimya umuache na maswali kuliko kutoa matumaini ambayo hayapo huko ni kuumiza wenzako hembu tubadilike
 
na si rahisi kuamini kila kitu au kila mtu, kwangu mimi ni ngumu kidogo

Kila mtu anaweza kuwa shetan, haijalishi ni mzungu, mchina, mjapani, muhindi, mmasai au whatever. Nilichoandika mimi ni muongozo tu wa binadamu walivyo na wanavyotakiwa kuishi
 
kama halitoki moyoni ni bora ukae kimya umuache na maswali kuliko kutoa matumaini ambayo hayapo huko ni kuumiza wenzako hembu tubadilike

Unamaanisha nini??
 
ukweli ndo uo hata ukatae hao watu wapo juu katika mapenzi sio kama sisi wanawake/wanaume kumikumi tena bila kuogopa tunasema live
 
kumwongoza binadamu ni ngumu ndugu yangu na kuishi kwa binadamu anaishi anavyotaka yeye anavyopenda anachoamua papo kwa papo,
 
Did you know that those who spend their time protecting others are the ones that really need someone to protect them?

Did you know that when you help someone, the help is returned in two folds?

Did you know that the three most difficult things to say are:
• I love you.
• I'm sorry.
• Help me

Did you know that it's easier to say what you feel in writing than saying it to someone in the face? But did you know that it has more value when you say it to their face?

Did you know that those who appear to be very strong in heart, are real weak and most susceptible?

But don't believe everything I tell you, until you try it for yourself, if you know someone that is in need of something that I mentioned, and you know that you can help, you'll see that it will be returned in two-fold

You have my vote, if you contest to be among great thinkers,
 
Ni wazuri kuamua papo kwa papo, lakin likitokea tatizo sasa sijui nalo litatatuliwa papo kwa papo?? Umeamua PAPO KWA PAPO kufanya mapenzi na mzungu, kakupa mimba kakimbia utatatuaje hilo tatizo PAPO KWA PAPO?
 
You have my vote, if you contest to be among great thinkers,

a GREAT THINKER can easily identify a fellow GREAT THINKER. Sadly I was very very surprised to see other pipo critisizing this msg like it is talking about them
 
hao waliokuponda nadhani wameperuzi tu bila kuelewa content ya hiyo post, usife moyo kaza buti
 
Did you know that those who spend their time protecting others are the ones that really need someone to protect them?

Did you know that when you help someone, the help is returned in two folds?

Did you know that the three most difficult things to say are:
• I love you.
• I'm sorry.
• Help me

Did you know that it's easier to say what you feel in writing than saying it to someone in the face? But did you know that it has more value when you say it to their face?

Did you know that those who appear to be very strong in heart, are real weak and most susceptible?

But don't believe everything I tell you, until you try it for yourself, if you know someone that is in need of something that I mentioned, and you know that you can help, you'll see that it will be returned in two-fold
May you explain thered in extra? Please, help me to understand this .....!
 
hao waliokuponda nadhani wameperuzi tu bila kuelewa content ya hiyo post, usife moyo kaza buti

Bila shaka, ila nawasikitikia zaidi WAO kuliko mimi kufa moyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom