Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
Nilishangaa kuona katika ibada (kupitia kwa Michuzi Blog), bila aibu wengine wamepiga magoti au kuinamisha kichwa ilhali mmoja anasoma simu! Hebu angalia!
http://1.bp.blogspot.com/-EdWU_cVZnZ0/T4iUr_TxKII/AAAAAAACbsw/T4CmN6HP7Pc/s1600/IMG_8555.JPG
Ujumbe: 1) Tuwe macho na wafanya biashara kama huyo kwenye picha, maana yeye ni kujionyesha tu
2) Tuheshimu Nyumba za Ibada!