Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

Hebu acheni kunyanyapaa UDSM, hayo ni mambo yanafundishwa toka shule ya msingi mpaka sekondari. UDSM inaingiaje hapa?????????

Shule ya msingi mpaka sekondari ni sawa na kuranda mbao....UDSM ndiko unakopigwa msasa ili product itakayotoka iwe smoooooooooth

Naona alumni (sijui kama wewe mmoja wao au la) wa UDSM wanakuja juu as if tunakionea chuo chao wakati ukweli wa mambo kiko katika hali mbaya....
 
This is one of the most confusing threads i have ever seen. Why Guys whats the point of this thread majibu hayaendani na mada... All I can see ni watu wanakula ban

We are not talking too fast, you are listening too slow.
 
Najua uchungu wa kutukaniwa ziwa la mama, alma mater, kwa wengi wetu.

Lakini kama unakubali kwamba mambo yanafundishwa toka shule ya msingi, na toka shule ya msingi hatuna msingi mzuri, then it follows hata ivory tower yetu itakuwa imekongoroka.

Najua yanafundishwa tangu shule ya msingi, lakini hata kama nchi yote elimu imekongoroka kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu, nilitegemea by the time mtu anahitimu chuo kikuu, aweze kujua kuandika Kiingereza cha darasa la nne.

Sawa, darasa la nne wameshindwa kumfunza kiingereza cha darasa la nne, chuo kikuu nako miaka yote aliyokaa wameshindwa kumjuza Kiingereza cha darasa la nne ?

Hivi kumbe kiingereza ndiyo kipimo cha weledi??????? Na hiyo kutukaniwa ziwa la mama is just "too general" Well as for my case, I did my yrs at UDSM never anywhere else after that. I am proud of it and will alwayz b. I have been able to secure a proffessional job abroad bila kupitia boxi and I can delIver way beyond ya wale walisoma the so called "prestigious universities". Ndiyo maana huwa nashindwa kuelewa hii demonizing ya UDSM inatokea wapi! Je hali ya UDSM ni mbaya kwa sasa, the answer is YES lakini hiyo haimaanishi hakuna some great minds coming outta there as per job perfomance point of view.

Labda huko kwenye sociology, law etc. Lakini from stuff like Geology, Engineering, Surveying, Agriculture. If you shape urself up, know wht u r doing, have the right mentors the sky is the limit regardless of how limited the resources we have at UDSM, Ardhi or SUA.

Tatizo nnaloliona kwa watanzania wengi ni pale tunapopenda "default" zaidi ya effort.
 
Heshima katika mediocrity ? Mtu anayekuja hapa na kutuhabarisha kwamba yeye ni policy wonk, lazima apewe scrutiny ya policy wonk. Ndiyo maana nikatoa mfano kwamba kamwe siwezi kumvunjia heshima member anayeitwa Brazameni kwa kumkosoa Kiingereza, kwa sababu Brazameni kashasema yeye ni mtu wa mabibi wa Ki Puerto Rico, fukwe za Brazil, kuruka majoka kila wikiendi, na uraia wa Marekani. Kwa hiyo huyu si mtu wa kujidai yeye ni intellectual.

Sasa hawa wasomi wetu wanaokuja kutu lecture humu, kujilinganisha na Nyerere, kutuambia wako unpredictable kama quantum pertubations, tunawaangalia kwa jicho wanalotupa wenyewe.Ni wenyewe wamesema wana uwezo wa kutuongoza, kisha wakasema wanasoma "Wall Street Journal" na kulitumia bungeni kukata issues. Kwa hiyo tukajua wasomi tunao, wanajua si tu mambo ya nyumbani, hata "Wall Street Journal" wanaijua, wabunge tunao.

Kumbe watu wenyewe hawajui kwamba huwezi kuandika "did supported" ? Sasa huku kujitapa "Nimesoma Wall Street Journal" "I am an Economist by training" blah blah blah tunakuona ni big fraud tu.

Yaani hili kosa wadogo zangu wanaosoma shule za msingi hawatakiwi kulifanya, itakuwa huyu bwana mkubwa ?

Huwezi kutetea hili. Inabidi tuwavunjie heshima sana wote wanaojidai usomi kumbe hata kuandika sentensi moja kwa lugha waliyochagua wao kunawashinda.Tukiwavunjia heshima sana kwa hilo labda kesho wataenda evening classes kunyoosha lugha hii kama wanataka kuitumia.

La sivyo watumie Kiswahili tu lugha ya taifa, kwani ukiandika Kiswahili unapunguza pointi ? Au ndiyo yale ya kuabudu Kiingereza, kwamba ukiandika Kiingereza ndio unajulikana msomi, ukiandika Kiswahili mtu wa kawaida ?

Bro hapo nampa benefit of doubt kwamba alikuwa anatumia simu na kuandika kwa haraka alifanya tu makosa ya kawaida. What I dont understand (maybe reasoning capacity yangu sasa imeanza kushuka) what is the point za wewe kuweka hizi post hapa. what's to be gained from this. Why? Why? Why?
 
Shule ya msingi mpaka sekondari ni sawa na kuranda mbao....UDSM ndiko unakopigwa msasa ili product itakayotoka iwe smoooooooooth

Naona alumni (sijui kama wewe mmoja wao au la) wa UDSM wanakuja juu as if tunakionea chuo chao wakati ukweli wa mambo kiko katika hali mbaya....

Mkuu it is true nilisoma UDSM and I am proud of it. Lakini sikumbuki kufundishwa kiingereza hata siku moja katika miaka minne niliyokaa pale and that is why nikaja na hiyo argument.
 
Hivi kumbe kiingereza ndiyo kipimo cha weledi??????? Na hiyo kutukaniwa ziwa la mama is just "too general" Well as for my case, I did my yrs at UDSM never anywhere else after that. I am proud of it and will alwayz b. I have been able to secure a proffessional job abroad bila kupitia boxi and I can delIver way beyond ya wale walisoma the so called "prestigious universities". Ndiyo maana huwa nashindwa kuelewa hii demonizing ya UDSM inatokea wapi! Je hali ya UDSM ni mbaya kwa sasa, the answer is YES lakini hiyo haimaanishi hakuna some great minds coming outta there as per job perfomance point of view.

Labda huko kwenye sociology, law etc. Lakini from stuff like Geology, Engineering, Surveying, Agriculture. If you shape urself up, know wht u r doing, have the right mentors the sky is the limit regardless of how limited the resources we have at UDSM, Ardhi or SUA.

Tatizo nnaloliona kwa watanzania wengi ni pale tunapopenda "default" zaidi ya effort.

Sawa bwana wewe na "proffessional job" yako. Mtu wa UDSM unadhihirisha kabisa.

Ungesoma posts kwa makini, ungejua hapa kuna maswala mengi zaidi ya ujuzi lugha yanazungumzwa.

Kuna fraud hapa. Kuna decision making hapa. Kuna stereotype hapa. Kuna political intrigue hapa.

Lakini kwa sababu wewe unaongelea "proffessional job" huwezi kuona depth yoyote.

Wewe na mwenzako Zitto hamchekani, mmenyonya ziwa moja.

Yaani unadhihirisha zaidi tu kwamba UDSM ya "tragedy of the commons" na mediocrity si ki fluke cha mtu mmoja, ni pattern.
 
Mkuu it is true nilisoma UDSM and I am proud of it. Lakini sikumbuki kufundishwa kiingereza hata siku moja katika miaka minne niliyokaa pale and that is why nikaja na hiyo argument.

Kwa hiyo major yako ilikuwa Kiswahili au Kifaransa? Na hakukuwa na electives nje ya major yako? Au wewe unazungumzia Kiingereza kama somo?

Na ulimaliza lini UDSM? Kama hautajali kutuambia.....
 
Bro hapo nampa benefit of doubt kwamba alikuwa anatumia simu na kuandika kwa haraka alifanya tu makosa ya kawaida. What I dont understand (maybe reasoning capacity yangu sasa imeanza kushuka) what is the point za wewe kuweka hizi post hapa. what's to be gained from this. Why? Why? Why?

Hata Malcolm X alivyoambiwa kuhani wake Elijah Muhammad alikuwa anawafanyia mchezo mbaya wasichana wadogo msikitini alibisha na kuanza kumtafutia kila excuse. Lakini baadaye akaona mwanga na kukubali ukweli. Inauma kuona kuhani wenu ana makosa.

Sasa hiyo simu kuandika haraka haraka asikosee neno lolote akose "did predicted" tu ? tena mara mbili? unajua the probability of doing that by random chance? Usinifanye nikupe mi formula na mi factorial hapa tuone probability ya one in ten billion.

Acha hizo.
 
Dont get me wrong bro, sio kwamba ninamuunga mkono zitto hapa, hapana.... ila kukosea kuandika kwangu naweza kukusamehe lakini what he has been doing lately brings more questions than answears. Mfano Kuweka post hii hapa ni kwa faida gani, is he questioning Nyerere motives or is he justifying himself being unpredictable cause nyerere was unpredictable pili kuongea na TBC1 kuhusu Chadema.

Hii inaniacha huku nikijiulize does this boy think about the outcomes of his actions.
 
Kiranga, mkubwa please enough with the language issue unaweza kujadili hoja yake? Au kukosea kwa lugha kumefanya point yake kuwa ni 'void'?

Mh Zitto, toka Invisible alipotualert kuwa utakuja kujibu hoja za humu ndani kwa kweli sijaona strong point hata moja toka kwako, nilichoona na two-lined sentence threads ambazo hazina muunganiko wa kimantiki.

Umejitapa kuwa ulikuwa ukimpigia kampeni Slaa, vipi ile hoja ya 2015 wewe kugombea Urais? Hoja uliyoitoa wakati wa kinyang'anyito cha kampeni? Au Kigoma ndivyo mlivyo?

Mi nikukumbushe tu, jinsi mnavyotumia vyombo vya habari mnavyotaka ninyi, kufikisha tu ujumbe wako binafsi lwa JK kuwa kwanini hukutaka kumpinga, ujue watanzania wa sasa siyo wajinga kiasi hicho, ipo siku tutawakana hadharani.

Kama una nia njema start reflecting on your actions now and come up with a proper action plan to patch your past
 
Dont get me wrong bro, sio kwamba ninamuunga mkono zitto hapa, hapana....

Issues hapa ni kubwa zaidi ya Zitto, Zitto kajichanganya kafanywa mfano tu.Tukiongea tuongee concepts kwa kina, ufinyu wa mawazo wa wanasiasa wa Tanzania. Wanafikiri wakituambia Nyerere alikuwa unpredictable hilo lina justify unpredictability.

Hawajui kwamba hata huyo Nyerere mwenyewe hakutaka kuji identify na unpredictability, rais akiwa unpredictable katika nchi inayofuata rule of law na fair trade biashara haiendi, investments haziji, stock markets hazipandi.

Zitto kama angekuwa amesoma uchumi angejua kwamba unpredictability is not a desirable factor. Ubovu wanasiasa wetu uchwara wanaendekeza ego, yaani mtu anajiona demigod aliye above rule of law na rational predictability.

Huyu atatufaa kutuongoza kweli? Mchumi asiyejua kwamba unpredictability si sifa nzuri, ni sifa mbaya. Anaujua uchumi kweli huyu? Anaijua siasa kweli huyu ? Tumesema kwamba Kikwete ni mchumi jina asiyejua uchumi, na Zitto naye ?

ila kukosea kuandika kwangu naweza kukusamehe lakini what he has been doing lately brings more questions than answears.

Hapa kakosea zaidi ya kuandika, hata ukiondoa hayo ya nje. Hapa kajionyesha yeye si mtu anayependa sheria. Mtu anayependa kuwa unpredictable hapendi kuwekewa mipaka, anapenda udikteta. Hapa kakosea kuchagua lugha asiyoiweza kujieleza, inaonekana sio tu kwamba hajui kiingereza vizuri, bali pia hajui hata kama hajui, angejua hajui naona angetumia Kiswahili asiadhirike bila sababu ya msingi.

Hapa kakosea kwa kukosa staha, kusema "mimi ni unpredictable" mbunge ni sawa na kuwaambia wananchi waliokupigia kura kwamba hamnijui, mmenipigia kura kwa ghiliba zangu tu, lakini naweza kuwabadilikia muda wowote, mimi si unpredictable bwana? Ndiyo maana mwanasiasa aliyekomaa wakati wote anatakiwa ku cultivate image ya predictability, na kamwe si unpredictability.

Mfano Kuweka post hii hapa ni kwa faida gani, is he questioning Nyerere motives or is he justifying himself being unpredictable cause nyerere was unpredictable pili kuongea na TBC1 kuhusu Chadema.

Anajaribu kuonyesha kwamba kwa sababu Nyerere alikuwa unpredictable, huwezi kutia shaka kwamba unpredictability si kitu kizuri. Kwanza hajui kuna watu wanamuona Nyerere si mali kitu na kwa hiyo kuwapa mfano wa Nyerere kuwa impress ni ushamba. Pili, hata huyo Nyerere mwenyewe hakuwahi kusema yeye ni unpredictable, alikuwa kila siku anasema principles zake.

Mtu akikwambia yeye ni unpredictable, kwa maana nyingine anakwambia hana guiding principles zinazojulikana. kama anazo guiding principles zinazojulikana tayari kashakuwa predictable.

Ukiona mwanasiasa anajigamba kwamba yeye ni unpredictable ujue huyo hafai, anaweza kukuambia moja halafu akakugeuzia kibao akasema kageuka, si unpredictable bwana, na kashakwambia hivyo, utamlaumu kwa lipi wakati mtu kashakwambia yeye unpredictable ?
Hii inaniacha huku nikijiulize does this boy think about the outcomes of his actions.

Wamelewa madaraka hawa watu, wakienda kuwashikia akili watu vijijini huko wanajiona vimungu mtu tayari, they can do no wrong, they can say no wrong.

Where is the famed Tanzanian humility in saying "I am unpredictable". It is a gross creed of arrogance.

Have some humility Zitto.
 
Kwa hiyo major yako ilikuwa Kiswahili au Kifaransa? Na hakukuwa na electives nje ya major yako? Au wewe unazungumzia Kiingereza kama somo?

Na ulimaliza lini UDSM? Kama hautajali kutuambia.....

Omega,

Please stop bashing my prestige alma mater. The truth is UDSM has played, and continue to play, a pivotal role in bringing positive changes in our country and Africa in general. I will always be thanksfully to UDSM for giving me, a peasant's son, a chance to advance myself in education.
 
Kiranga, mkubwa please enough with the language issue unaweza kujadili hoja yake? Au kukosea kwa lugha kumefanya point yake kuwa ni 'void'?

Mh Zitto, toka Invisible alipotualert kuwa utakuja kujibu hoja za humu ndani kwa kweli sijaona strong point hata moja toka kwako, nilichoona na two-lined sentence threads ambazo hazina muunganiko wa kimantiki.

Umejitapa kuwa ulikuwa ukimpigia kampeni Slaa, vipi ile hoja ya 2015 wewe kugombea Urais? Hoja uliyoitoa wakati wa kinyang'anyito cha kampeni? Au Kigoma ndivyo mlivyo?

Mi nikukumbushe tu, jinsi mnavyotumia vyombo vya habari mnavyotaka ninyi, kufikisha tu ujumbe wako binafsi lwa JK kuwa kwanini hukutaka kumpinga, ujue watanzania wa sasa siyo wajinga kiasi hicho, ipo siku tutawakana hadharani.

Kama una nia njema start reflecting on your actions now and come up with a proper action plan to patch your past

Wewe unajua kusoma kweli? Umeona nilivyoongea falsafa hapo juu ? Umeona nilivyoongea Machiavelli ? Umeona nilivyoongea Lyndon Johnson ? Umeona nilivyoongea fraud ? Umeona nilivyomtie in Zitto na educational system ? Umeona nilivyosema kwamba ni mwanasiasa mchanga tu anayeweza kujisifu "I am unpredictable" ? Umeona nilivyo expose fallacy ya kutumia mfano wa Nyerere kusema "I am unpredictable" wakati Nyerere alikuwa ana dance na predictability? Umeona nilivyoongelea "decision tree" ya kuchagua lugha ya kutumia hapo juu ?

Au unaleta uvivu wa kusoma tu? Wewe unaona naongelea lugha tu hapa?
 
Omega,

Please stop bashing my prestige alma mater. The truth is UDSM has played, and continue to play, a pivotal role in bringing positive changes in our country and Africa in general. I will always be thanksfully to UDSM for giving me, a peasant's son, a chance to advance myself in education.

"Please stop bashing my prestige alma mater. "

UDSM, the gift that keeps on giving. Yaani kila mtu anayekuja kuitetea UDSM anazidi kutuonyesha kwamba hii si fluke, ni pattern.

Jamani ee, Kiswahili nayo ni lugha nzuri tu.

Ian Fleming, the creator of James Bond, anakwambia "once is happenstance, twice may be coincidence, but thrice is definitely design"

The ancients believed the circle to be the most elegant of all designs, with three points one could even achieve the elegance of nature (and draw a circle, just as one can draw a line between two points) and completely conclude that the mediocrity of UDSM is a confirmed fact supported by a pattern, not one or two flukes.
 
Rufiji bana....mbona umenishikia sana bango leo....

Btw, vipi Texans...naona wanasua sua tu....
 
Umeona na wewe eeeh.....lol....yaani hawa jamaa ni bora wauchune tu!!!
 
"Please stop bashing my prestige alma mater. "

UDSM, the gift that keeps on giving. Yaani kila mtu anayekuja kuitetea UDSM anazidi kutuonyesha kwamba hii si fluke, ni pattern.

Jamani ee, Kiswahili nayo ni lugha nzuri tu.

Ian Fleming, the creator of James Bond, anakwambia "once is happenstance, twice may be coincidence, but thrice is definitely design"

The ancients believed the circle to be the most elegant of all designs, with three points one could even achieve the elegance of nature and completely conclude that the mediocrity of UDSM is a confirmed fact supported by a pattern, not one or two flukes.

What you are talking about doesn't make sense at all. How can you use one word (stop-quit) to bring your point home. It seems you have pre-conceived notion and personal vandetta against UDSM.
 
What you are talking about doesn't make sense at all. How can you use one word (stop-quit) to bring your point home. It seems you have pre-conceived notion and personal vandetta against UDSM.

:teeth::teeth::teeth:

Rufiji eeeh we longa kwa Kiswahili tu
 
Kiranga hafai jamani, Zitto huko alipo anaomba Kiranga apigwe ban. But this will not happen,the product of udsm is all over Tanzania, believe me soon udom will pour its products aslo. Can you imagine this mixture?
 
Unajua nini kinachoendelea hapa ni ujinga guyz! I am using a cellphone and I don't have time to proofread.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom