Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

Mzee Tenga has been banned for 3 days for abusive language. Seeing at it is his first time we have gone lenient with him. Solomon David has been banned for 2 weeks for continuously using strong language in different threads. Members please refrain from the use of abusive and offensive language. It has become an issue of late and moderators will no longer tolerate it. Thank you....
 
Mushi,

I have urged these people to refrain from using those derogative terms but to no avail. It is really sad that this forum has sunk this low, people are obsessed with Udini and discussing trivial issues (spelling, grammar and tenses). It seems we are endowed with abundance of English teachers in this forum.

It is sad that the forum is degenerating into a stinking den, I know tempers must fly sometimes and there is no way to herd cats, but some self restrain is in order.If not, a small dose of right censorship will be justified.

On the matter of English, I have to differ. JF should be a place of high standards, especially when it comes to people who should know.Like MPs who voluntaliry choose to write in English, and their reputed policy wonks. If you present yourself as a wonk, to draw parallel and precedent from Nyerere and the history of Biafra, in English, the very least we expect from you should be the correct usage of that language.

Of course if my dear old friend Brazameni is coming to post some pictures of honies from his weekly clubbing rounds (where my son @) one would look absurd to even expect my man, who doesn't want anything to do with intellectuals and their pursuit, whose dreams are only the sands of Copa Cabana and Ipanema, the almighty greenback and its blue book, to be grammatically correct.

Kutumia lugha fasihi na sarufi inayotakiwa ni muhimu, ni sehemu ya usomi. Hatutaki kutetea ungumbaru hapa.

Hawa hawa wabunge ndio wale wale kesho watasema "Nilikuwa nasoma "Wall Street Journal"....." napata mashaka sasa kama wakisoma wanaelewa hata kuelewa.

C'mon son, "Why did Nyerere supported ?", for real ?
 
On the matter of English, I have to differ. JF should be a place of high standards, especially when it comes to people who should know.Like MPs who voluntarily choose to write in English, and their reputed policy wonks. If you present yourself as a wonk, to draw parallel and precedent from Nyerere and the history of Biafra, in English, the very least we expect from you should be the correct usage of that language.

Of course if my dear old friend Brazameni is coming to post some pictures of honies from his weekly clubbing rounds (where my son @) one would look absurd to even expect my man, who doesn't want anything to do with intellectuals and their pursuit, whose dreams are only the sands of Copa Cabana and Ipanema, the almighty greenback and its blue book, to be grammatically correct.

Kutumia lugha fasihi na sarufi inayotakiwa ni muhimu, ni sehemu ya usomi. Hatutaki kutetea ungumbaru hapa.
Nakubaliana kuwa as long as our self perception/proclamations that we are indeed great thinkers is concerned, we should then be held accountable accordingly,tatizo tu isiwe neat picking ama cherry picking ama sometimes even typos. Kama ni makosa ambayo kutokana na elimu watu walitakiwa wawe wameyafuta,then naona ni fair tu ku critisize.noma ni kauli chafu chafu kama Mzee Tenga na wengineo.
 
Sikufichi nimei report hiyo post yako,definetly post kama hizi zinafanya wengine iwe vigumu kuchangia. Huu ni upuuzi wa hali ya juu ambao hautakiwi kuvumuliwa kwenye forums za watu wenye akili timamu na wenye kujali issue zinazolikabili taifa lao....Kama ni mara ya kwanza kwa baadhi ya watembeleaji wa forum hii, halafu wakakutana na huu upupu unadhani first impression yao itakuwa vipi?
Acheni ujinga msituharibie forum bana.

Inabidi tusaidiane na mods katika hili.
 
It is sad that the forum is degenerating into a stinking den, I know tempers must fly sometimes and there is no way to herd cats, but some self restrain is in order.If not, a small dose of right censorship will be justified.

On the matter of English, I have to differ. JF should be a place of high standards, especially when it comes to people who should know.Like MPs who voluntaliry choose to write in English, and their reputed policy wonks. If you present yourself as a wonk, to draw parallel and precedent from Nyerere and the history of Biafra, in English, the very least we expect from you should be the correct usage of that language.

Of course if my dear old friend Brazameni is coming to post some pictures of honies from his weekly clubbing rounds (where my son @) one would look absurd to even expect my man, who doesn't want anything to do with intellectuals and their pursuit, whose dreams are only the sands of Copa Cabana and Ipanema, the almighty greenback and its blue book, to be grammatically correct.

Kutumia lugha fasihi na sarufi inayotakiwa ni muhimu, ni sehemu ya usomi. Hatutaki kutetea ungumbaru hapa.

Hawa hawa wabunge ndio wale wale kesho watasema "Nilikuwa nasoma "Wall Street Journal"....." napata mashaka sasa kama wakisoma wanaelewa hata kuelewa.

C'mon son, "Why did Nyerere supported ?", for real ?

Kiranga,

Kama unataka kumrekebisha mtu basi tufanye hivyo bila kumvunjia heshima. Kuanza kutukana chuo alichosoma ni kukosa ustaarabu, zaidi ya hapo unaweza kumtumia private message.
 
Nakubaliana kuwa as long as our self perception/proclamations that we are indeed great thinkers is concerned, we should then be held accountable accordingly,tatizo tu isiwe neat picking ama cherry picking ama sometimes even typos. Kama ni makosa ambayo kutokana na elimu watu walitakiwa wawe wameyafuta,then naona ni fair tu ku critisize.noma ni kauli chafu chafu kama Mzee Tenga na wengineo.

Hey Meku....siyo "neat picking" ni "nit picking" :teeth:
 
Kiranga,

Kama unataka kumrekebisha mtu basi tufanye hivyo bila kumvunjia heshima. Kuanza kutukana chuo alichosoma ni kukosa ustaarabu, zaidi ya hapo unaweza kumtumia private message.

Heshima katika mediocrity ? Mtu anayekuja hapa na kutuhabarisha kwamba yeye ni policy wonk, lazima apewe scrutiny ya policy wonk. Ndiyo maana nikatoa mfano kwamba kamwe siwezi kumvunjia heshima member anayeitwa Brazameni kwa kumkosoa Kiingereza, kwa sababu Brazameni kashasema yeye ni mtu wa mabibi wa Ki Puerto Rico, fukwe za Brazil, kuruka majoka kila wikiendi, na uraia wa Marekani. Kwa hiyo huyu si mtu wa kujidai yeye ni intellectual.

Sasa hawa wasomi wetu wanaokuja kutu lecture humu, kujilinganisha na Nyerere, kutuambia wako unpredictable kama quantum pertubations, tunawaangalia kwa jicho wanalotupa wenyewe.Ni wenyewe wamesema wana uwezo wa kutuongoza, kisha wakasema wanasoma "Wall Street Journal" na kulitumia bungeni kukata issues. Kwa hiyo tukajua wasomi tunao, wanajua si tu mambo ya nyumbani, hata "Wall Street Journal" wanaijua, wabunge tunao.

Kumbe watu wenyewe hawajui kwamba huwezi kuandika "did supported" ? Sasa huku kujitapa "Nimesoma Wall Street Journal" "I am an Economist by training" blah blah blah tunakuona ni big fraud tu.

Yaani hili kosa wadogo zangu wanaosoma shule za msingi hawatakiwi kulifanya, itakuwa huyu bwana mkubwa ?

Huwezi kutetea hili. Inabidi tuwavunjie heshima sana wote wanaojidai usomi kumbe hata kuandika sentensi moja kwa lugha waliyochagua wao kunawashinda.Tukiwavunjia heshima sana kwa hilo labda kesho wataenda evening classes kunyoosha lugha hii kama wanataka kuitumia.

La sivyo watumie Kiswahili tu lugha ya taifa, kwani ukiandika Kiswahili unapunguza pointi ? Au ndiyo yale ya kuabudu Kiingereza, kwamba ukiandika Kiingereza ndio unajulikana msomi, ukiandika Kiswahili mtu wa kawaida ?
 
Mzee Tenga has been banned for 3 days for abusive language. Seeing at it is his first time we have gone lenient with him. Solomon David has been banned for 2 weeks for continuously using strong language in different threads. Members please refrain from the use of abusive and offensive language. It has become an issue of late and moderators will no longer tolerate it. Thank you....

I got to say this, sometimes you people aren't fair. There has been many instances where you have banned only one person (especially the one retaliating) and did nothing to the provocateur. That's not fair at all. If someone is provoked and he/she retaliates in kind then both parties need be banned or no ban at all. It makes you all look like you are playing favoritism even if you are not when you ban one person and leave the other when in fact both of them were trading insults. You guys need to check yourselves.
 
Mzee Tenga has been banned for 3 days for abusive language. Seeing at it is his first time we have gone lenient with him. Solomon David has been banned for 2 weeks for continuously using strong language in different threads. Members please refrain from the use of abusive and offensive language. It has become an issue of late and moderators will no longer tolerate it. Thank you....
Nashauri hata kama mchangiaji ame"Qoute" maneno hayo yasio mazuri basi yaondolewe point nzima...tukiacha "qoute" yenye matusi maana yake wachangiaji wanaochelewa wataona hayo matusi itakuwa haijasaidia kitu...
 
............................

La sivyo watumie Kiswahili tu lugha ya taifa, kwani ukiandika Kiswahili unapunguza pointi ? Au ndiyo yale ya kuabudu Kiingereza, kwamba ukiandika Kiingereza ndio unajulikana msomi, ukiandika Kiswahili mtu wa kawaida ?

Kiranga practice make perfect. Sasa mtu akikosea mwambie umekosea hapa then tunakwneda kwenye hoja. Sidahni kama kakosea sana kiasi theme ya ujumbe wake haieleweki.

Usifanye watu tusiojua kingereza kizuri kama chako au cha yule na wao waogope kuandika just beacuse ya syntax errors.

Usishangae Mchumi au engineer kushindwa kuongea au kuandika kigereza fasaha. kama Alichukua Degree ya lingustic au phonetic naweza kukubaliana na wewe.
 
Sasa kama lugha hawaiwezi vizuri kwa nini wasiandike kwa lugha wanayoimudu? Lugha ni lugha tu. Hakuna lugha iliyo juu au iliyo bora juu ya nyenzake ili mradi lugha hiyo inatimiza wajibu wa mawasiliano ya kundi au jamii fulani. Unapolazimisha kutumia lugha ambayo hauimudu vizuri huku ukijidai wewe msomi watu tutakuona wewe mlugaluga tu.

Sasa Zitto alivyo "butcher" hizo tenses kweli utamtetea wewe? Sorry dude....that's untenable.
 
Kiranga practice make perfect. Sasa mtu akikosea mwambie umekosea hapa then tunakwneda kwenye hoja. Sidahni kama kakosea sana kiasi theme ya ujumbe wake haieleweki..

Kuna watu wanatakiwa hata kama wanafanya practice, wafanye mambo ya juu. Sitegemei mbunge anayeji identify na usomi na kusoma WSJ na kulitaja bungeni kama source yake ya info, leo aje hapa akosee kiingereza cha darasa la nne. Nitamuona si tu kakosea lugha, nitamuona pia laghai ambaye anatudanganya anasoma WSJ wakati kiingereza cha darasa la nne Tanzania kinamshinda.

Usifanye watu tusiojua kingereza kizuri kama chako au cha yule na wao waogope kuandika just beacuse ya syntax errors..

This is more than a syntax error, this is also a logical error.Mtu alikuwa na choice ya kutumia lugha anayoijua na asiyoijua, akachagua asiyoijua hata bila kujali kwamba haijui, pengine bila kujijua kwamba haijui.

Halafu nishasema mfano wa Brazameni, hapa wewe ukija kama mtu usiyejua Kiingereza, wala hatuwezi kukuandama. Tunajua kanuni ya "Noblesse Oblige". To whom much is given, much is required. Ukijitia kugombea ubunge unajua kuongoza watu na juu ya hapo usomi na kuandika Kiingereza, bora uwe unakijua kweli, si unatuletea kiingereza cha kuunga unga hapa, tutakuumbua.

Kwa hiyo mtu kama huna mbwembwe, kwa kweli kukushikia bango sisi wakosoaji tutakuwa tunajidhalilisha wenyewe.Mbona makosa tunayaona kila siku, lakini tunamezea kwa sababu "tatizo la kitaifa" . Sasa inapotokea hata hawa wasomi wetu tuliowapa dhamana ya kuondoa tatizo hili wanashindwa kuandika sentensi nyoofu, lazima tuwakemee wajitahidi zaidi.

Usishangae Mchumi au engineer kushindwa kuongea au kuandika kigereza fasaha. kama Alichukua Degree ya lingustic au phonetic naweza kukubaliana na wewe.

Hapana, kwani degree yake kasomea kwa lugha gani bwana. Hapa hatuongelei kwamba kafanya makosa katika kulinganisha the Aryan roots of indo-european languages of the Slavic branch and pre-Shakespearean English, tunaongelea kiingereza cha darasa la nne ambacho teenager yeyote sharp aliyepata exposure ndogo tu anatakiwa akijue.

Sembuse mchumi anayesoma Wall Street Journal bwana ?
 
Duh! Watu wana maneno kweli,wameshaanza kumwita "Mhe. did supported"

Zitto ni mchemkaji sana na hili mimi nimeliona siku nyingi sana lakini naona baadhi ya watu ndiyo wanagundua sasa. Jamaa hafai nafasi ingine yoyote ya uongozi zaidi ya hiyo ya ubunge.
 
Sasa kama lugha hawaiwezi vizuri kwa nini wasiandike kwa lugha wanayoimudu? Lugha ni lugha tu. Hakuna lugha iliyo juu au iliyo bora juu ya nyenzake ili mradi lugha hiyo inatimiza wajibu wa mawasiliano ya kundi au jamii fulani. Unapolazimisha kutumia lugha ambayo hauimudu vizuri huku ukijidai wewe msomi watu tutakuona wewe mlugaluga tu.

Sasa Zitto alivyo "butcher" hizo tenses kweli utamtetea wewe? Sorry dude....that's untenable.

Sio kama namtetea but its b cs I also know hata mm my english competency is below avarage even in tanzania "standards".
Mfano mimi namudu vizuri kiswahili lakini nahitahi kumudu vizuri zaidi kingereza na siko shule wa chuo. The more nitavyoandika nakuongea na kukosolewa ndiyo nitajifunza . Na Jf ni kijiwe cha kujifunza na kufundishana.

Sasa linapokuja sula la kukosoana kwenye lugha "walimu" wasiwe kama wa enzi zile za kanumba.

Siwezi kujifunza kingereza wa kunyamaza eti kwa kuwa sijui. Msiwakatishe tamaa watu. People should feel free to use any of the two lanaguage hata kama hawaimudu vizuri.
 
Kama hujawahi kujipresent kama mtu ambaye information zake anazitoa katika "Wall Street Journal", kama hujawahi kujilinganisha na Nyerere katika umahiri wako wa kisiasa na uchambuzi wa mambo, kama hujajitapa na unakuja kama Mtanzania wa kawaida tu, atakayekushikia bango atakuwa anakosea. Sana sana ni kukosoana kiushkaji tu, hutatengeneza outrage, kwa sababu utakuwa hujamdanganya mtu, utakuwa unajifunza lugha ngeni tu.

Huyu Zitto ninamshikia bango kwa sababu ana ji present kama mchumi msomi kumbe kiingereza cha darasa la nne tu kinampiga chenga.

Kwa hiyo wala usiwe na shaka, wewe ushajisema kwamba kiingereza chako cha manati, atakaye kushikia bango huyo hana uungwana.

Kuna siku nilishamsikia kwenye an online video anaongea Kiingereza fyongo, nikasema labda ni poor sound quality na mi accent yetu tu ya kibongo mtu anaweza kuwa anaongea grammatically correct lakini lugha si yetu mu accent tofauti na wenye lugha ukasikika kama unachanganya tenses.

Kumbe kweli, alikuwa anaboronga all along.
 
UTATA WA KIINGEREZA KWA MHE KABWE KUSIJUMUISHWA UDSM JAMAA ALIHAMIA TU:

Chonde UDSM Kiingereza kisafiiiiiiiiiiiiiiiiii, nidhamu ya kuwashilisha mawazo ndio kabisaaa huwekwa mbele kama tai pale.

Kumbukumbu zinathibitisha kwamba Zitto alifanya kuhamia tu UDSM akitokea Chuo Kikuu kimoja hivi kule Zanzibar. Tena huko alikua ni rais wa chuo hicho. Kwenye thread fulani humu kulielezwa vile Zitto na wengine walivyotaka kukipindua serikali ya Wanafunzi DARUSO. Ni msukumo wa fulani ulikuemo ndani mwake wakati huo, ndio maana hata baada ya kuhamia UDSM akatamani kuhamia na kiti chake kile kile cha urais toka Zanzibar sawa sawa na Mrema alivyotaka akahamie CUF na uenyekiti wake toka NCCR-Mageuzi.

Hebu kamuulizeni mtapata jibu sahihi hapo. Kwa hivyo endapo kumeonekana kahitilafu fulani kimawasiliano chonde msijumuishe UDSM kwa ujumla wake. Jamaa alifanya KUHAMIA TUUUU!!!!!!!!!!!

Usitake niwaanzishie UDSM.

Usitake niunge majeshi na mtani wa jadi tuitafute ile thread ya website yenu niwaonyeshe madudu. Matter of fact hata bila kucheck I am sure tukienda kwenye website ya UDSM tutakuta jewels kibao tu.

Unabisha?
 
why did nyerere supported.....Why did nyerere opposed

Hizi lugha za watu jamani hizi, zinaumbua sana.

Ndiyo mambo ya UDSM tuliyokuwa tunasema hapa. Huyu ni Zitto Kabwe au mshashi tu kajibandika jina? Maana kama Kabwe hatari. Naona nataka kuwa kama yule mchizi aliyekuwa anadai Regia atoe namba yake ya kadi CHADEMA ndiyo aamini kwamba anayeandika madudu yale ni Regia.

Zitto anaharibu mpaka nakuwa siamini kama ni Zitto wa kweli au wa kuchonga.

Lakini kwa products za UDSM siwezi kushangaa.

Hebu acheni kunyanyapaa UDSM, hayo ni mambo yanafundishwa toka shule ya msingi mpaka sekondari. UDSM inaingiaje hapa?????????
 
This is one of the most confusing threads i have ever seen. Why Guys whats the point of this thread majibu hayaendani na mada... All I can see ni watu wanakula ban
 
Hebu acheni kunyanyapaa UDSM, hayo ni mambo yanafundishwa toka shule ya msingi mpaka sekondari. UDSM inaingiaje hapa?????????

Najua uchungu wa kudhihakiwa mama uliyenyonya ziwani kwake, alma mater, kwa wengi wetu.

Lakini kama unakubali kwamba mambo yanafundishwa toka shule ya msingi, na toka shule ya msingi hatuna msingi mzuri, then it follows hata ivory tower yetu itakuwa imekongoroka.

Najua yanafundishwa tangu shule ya msingi, lakini hata kama nchi yote elimu imekongoroka kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu, nilitegemea by the time mtu anahitimu chuo kikuu, aweze kujua kuandika Kiingereza cha darasa la nne.

Sawa, darasa la nne wameshindwa kumfunza kiingereza cha darasa la nne, chuo kikuu nako miaka yote aliyokaa wameshindwa kumjuza Kiingereza cha darasa la nne ?

Unajua Rajesh Rajani juzi katoka kufanya research kapata findings wahitimu wa darasa la saba wengi hawajui kuandika sentensi kamili kwa kiingereza.

Labda inawezekana ni muhimu tufanye research kama hii kwa wahitimu wa Chuo Kikuu. I mean wajanja wenywe kama ndio hawa wakina Zitto, sijui hao mazezeta watakuwaje.
 
Back
Top Bottom