Re:WHO OWN TANZANIA?

MUD

Member
Dec 28, 2010
7
0
Ukiangalia Chanel ya CITIZEN ya Kenya huwa wana kipindi maalum huwa wanaonyesha watu wanaoshikilia uchumi wa Kenya kwa kuwa na vitega uchumi almost nchi nzima mfano ,mmojawapo ambaye Citizen wamemuonyesha anashikilia uchumi wa Kenya ni MOI Ambaye Ni owner wa Vyuo,Shule,Mahoteli,Viwanja na Biashara mbalimbali,Je Tanzania ni kina nani Wanaoshikilia uchumi wetu?
 
RA (mafisadi):smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash:
 
RA (mafisadi):smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash::smash:

Mafisadi wa Bongo wanaficha pesa zao nje ya nchi hawainvest hapa. Ile hang over ya vita vya wahujumu uchumi haijawaisha. Sokoine ghost is still haunting them. Wanafikiri atafufuka aje awatembezee noma kama ile ya miaka ya 1980s.
 
Twende mkoa kwa mkoa Tanzania ni kubwa sana ukilinganisha na kenya

Arusha: Wahindi wa Sunflag/A-z..wakisema wanafuta kazi wale vijana arusha hakukaliki mkuu

Tanga: ???
 
Ukiangalia Chanel ya CITIZEN ya Kenya huwa wana kipindi maalum huwa wanaonyesha watu wanaoshikilia uchumi wa Kenya kwa kuwa na vitega uchumi almost nchi nzima mfano ,mmojawapo ambaye Citizen wamemuonyesha anashikilia uchumi wa Kenya ni MOI Ambaye Ni owner wa Vyuo,Shule,Mahoteli,Viwanja na Biashara mbalimbali,Je Tanzania ni kina nani Wanaoshikilia uchumi wetu?
Kila kiongozi anadanganya mali alizonazo............. hawatakubali kutajwa kwenye public though tunawajuwa............. RA, Che NKAPA, EL, JK............n.k
 
Ni mtu mmoja tu anayei-own Tanzania: Rostam Aziz.

Hivi sasa anasubiri sh 185 bilioni toka kwa wavuja jasho wa Tanzania (kutokana na kupandishwa kwa gharama za umeme) ili agawe mgawo kiasi kwa wapambe wake akina JK, EL, FW(Frederick Werema), NM(Nimrod Mkono), WN(Wiliam Ngeleja), ZK(Zitto Kabwe).
 
View attachment 19399View attachment 19405View attachment 19404View attachment 19403View attachment 19402View attachment 19401View attachment 19400
chenge_3.jpg
 
Wala usihangaike, wako wanne mapapa nao ni RA, JK, Chenge na EL wengine ni wafuasi tu!
 
Back
Top Bottom