Re: Ujinga

Ujinga ni kumpa dent mimba alafu ukipelekwa jela unalaumu na kulia,mweeeh....!
Ujinga ni kuota ucku unasex(kwa wasiooa)alafu asubuhi unatamba kwa washkaji....hivi..... "jana nilipiga bao mbili" kweli wewe ni zezeta teh teh teh teh teh......
 
Ujinga bana upo kibao tu.baba kumuita mshua, presdaa kumwita ******,kusema na logoff kumbe upo login,kusifia masaburi wakati huendi yafanyia kazi yyt,ni ujinga pia kutumiana pm za ma love love ndani ya jf kwakuwa unaweza kuwa unachati na mtu mwenye jinsia yako.ni ujinga..,.....ujinga kabisa!!
 
Wambuzi hiyo ndo tabia yako

Ha ha ha ha ha.. Hapana, utoton ilikua. Ila kuna jamaa yangu mmoja aisee namuonaga yyan anajisahau kabisa mpka anafanya hata mkiwa mmekaa wote.. Ila ye huwa anajikuna kwa mbele kny vuzi. Alafu anachek kama hamuangalii.. Kitu kinapaitishwa puani. HATARI SANA HII!!!?
Nitonye nahisi na we ni mmoja wao, remember
"IT TAKES ONE TO KNOW THE ONE"
 
Hapo umenena mkuu... Ni ujinga kusikia uvivu kutoka kitandani aasubuh wakat kuna majukumu kibao ynakusubiria..

Ujinga ni kujifanya unaponda tabia ya kujichua ilhali we ni kamanda muhimu wa CHAWAPUTA {chama cha wapiga puchu Tanzania)
 
Yaani JF haaishi kuburudisha. Mie niliisikia hii toka kwa rafiki yangu "Ujinga ni Wazazi kuitana "baby" halafu watoto wao wanawaita "mummy'' / "daddy"
 
Ha ha ha ha ha.. Hapana, utoton ilikua. Ila kuna jamaa yangu mmoja aisee namuonaga yyan anajisahau kabisa mpka anafanya hata mkiwa mmekaa wote.. Ila ye huwa anajikuna kwa mbele kny vuzi. Alafu anachek kama hamuangalii.. Kitu kinapaitishwa puani. HATARI SANA HII!!!?
Nitonye nahisi na we ni mmoja wao, remember
"IT TAKES ONE TO KNOW THE ONE"

Utotoni tumefanya sana hii kitu wala hujakosea ila wanaofanya ukubwani ni ujinga
 
Ujinga ni kujifanya unaponda tabia ya kujichua ilhali we ni kamanda muhimu wa CHAWAPUTA {chama cha wapiga puchu Tanzania)

Tena hii tabia wanayo madaktari wa magonjwa ya wanawake, wakishaziona mbunye wanaenda bafuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom