Re: Ujinga

ni ujinga kuwaambia wanainchi wapige mbizi wakati wewe ni kiongozi wao
 
Ni Ujnga kustuliwa usngzni unaota ndto nzr na kulala tena ili ndto ile iendelee
 
ni ujinga kuwaambia wanainchi wapige mbizi wakati wewe ni kiongozi wao

Kama ilivo kuwafananisha wananchi na mbuzi kwa kuwaambia kama vp watakula nyasi ilimradi pesa iwe saved kununua mwewe wa prezdaa
 
Ujinga ni kufikiri eti kabila lenye wa2 bahili ni wachaga 2
ujinga ni-tabia ya m2 m1 inakufanya uamini kuwa ni tabia ya kabila lao,mfano,unamuona binti anagawa p..sy sana na kwa vile ni mpare,basi wewe ulivyo mjinga unajua kuwa mabinti wa kipare wote ndivyo walivyo, MPOMPOPO mkubwa we.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom