Re: tumsaidieni dada huyu!!!!

kokusiima

Member
Sep 19, 2011
11
3
hivi ujauzito wa mwezi mmoja unaonekana ukipima urine au pregnancy test? rafiki yangu anauliza huvo tumsaidieni wana jf
 
Pregnancy test aren't 100% sure but there are little chances for them to be wrong. If you wanna be sure tell her to go and make a blood analysis and the result will be certain.
 
Samahani uwa sitoi ushauri wa watu wanaosema rafiki yangu oh dada yangu au mshikaji wangu,sorry for dat,next time mwambie rafiki yako ajiunge na JF its free,aje aulize hilo swali,au kama ni wewe ndo unauliza sema unatumia care-off,why ufanye hivyo,mimba sio ugonjwa koku,kama ni ugonjwa mie na wewe tusingezaliwa(nimenukuu kwa mpoto)
 
Yeah. . .
Ila vizuri akarudia hata mara mbili kwa uhakika zaidi.
 
UPT = URINE PREGNANCY TEST... Akifanya hiyo atagundua kama ni mjamzito...
 
Nakuja unipime mke mwenza, nimebugi stepu (usimuambie wifi lao,lol)
Hahaha. Am waiting for you mke mwenza lol, mbona utakoma...kakake ashadii alivyo mkali sijui itakuwaje asee! Sitamwambia wifi lao itabidi iwe siri yetu wawili..
 
Mwambie aache Ngono Zembe! UKIMWI unaua na umeshaua watu wengi!

Baba Enocka! Kulikoni ? Umemshukia na munkar ! Mdada, mbona hapajaainishwa that preg is a result out of married ? Kama ni kitumbo cha babiewana au a husband to be ? Itabidi umtake radhi so far !
 
Back
Top Bottom