Re:rev mtikila kuishukia serikali hotel travertne saa nne na nusu

Mupe

Member
Jun 28, 2012
6
3
Mch Christopher Mtikila anakutana na WAANDISHI wa HAbari asubuhi hii saa 4 na Nusu pale Travertine Hotel Magomeni KUTOA msimamo wa DP JUU ya unyama aliofanyiwa Kamanda Dr S ULIMBOKA. ATATOA MSIMAMO ni kwa mini serikali Haina nia ya dhati kumaliza matatizo ya huduma za Afya na Tabia za viongozi wa NCHi hii ya Kwenda kutibiwa nje ya NCHi hata pale wanapopata magonjwa ya zinaa na chunusi.
DONT MISS IT
 
sana Mtikila
 
Ati magonjwa ya zinaa na chunusi..tehe tehe
 
Mhh... pengine katumwa huyo. Mnakumbuka wakati wa kifo cha Wangwe aliitisha waandishi na kuwaeleza kwamba waliyepanga kumuuwa Wangwe ni Chadema wakishirikiana na Mengi.

Alichoshangaza ni kwamba baada ya kuwaambia waandishi hivyo alianza kutoa maombi kwamba habari hizo zitoke ukurasa wa kwanza ktk magazeti kesho yake. Simuamini kabisa huyu.

Huenda pia safari hii CCM wakamtumia baada ya kumpa kitu kidogo.
 
Huyu ndiye mtanganyika halisi kwa moyo na damu yake. Nampenda sana Rev. kwa huo msimamo wake wa utanganyika.
 
Kwa wakati tulionao mtu yeyote anae unga mkono jitihada za ukombozi wa taifa hili kutoka kwenye makucha ya hawa mafisadi ni lazima tumkubali. Kwa hy hata mtikila kama atakuwa nasi basi tumuunge mkono. Maana hapa suala ni kupigana na ccm kwa namna yoyote ilimradi ukombozi wa taifa hili upatikane.
 
Mhh... pengine katumwa huyo. Mnakumbuka wakati wa kifo cha Wangwe aliitisha waandishi na kuwaeleza kwamba waliyepanga kumuuwa Wangwe ni Chadema wakishirikiana na Mengi.

Alichoshangaza ni kwamba baada ya kuwaambia waandishi hivyo alianza kutoa maombi kwamba habari hizo zitoke ukurasa wa kwanza ktk magazeti kesho yake. Simuamini kabisa huyu.

Huenda pia safari hii CCM wakamtumia baada ya kumpa kitu kidogo.

Nalikumbuka tukio hilo, kwani lilishangaza sana hasa ukifikira kwamba miaka michache tu nyuma Mengi huyo huyo alimtumia huyo Mchungaji katika sakata lake Mengi dhidi ya Manji.

Tanzania hii!!!
 
Back
Top Bottom