RE; Nkunya in the house of JF

nsami

Senior Member
Jun 11, 2010
175
8
Hi JF users!
It's another new member in the forum.
Salaam kwa washika dau wote pamoja sana katika kuleta mageuzi ya kifikra.
No one can do it except JF!
Bye!
 
Mayunga Nkunya - Executive Secretary of the Tanzania Commission for Universities?

OR

This is another M.M Nkunya?
 
Karibu ndugu jamvini. Naona wamekudaka kwa maswali kibao kama mashushushu badala ya kukukaribisha.
 
ah! bwana M.Nkunya ebo tupe ufafanuzi kidogo, wewe ndiye yule mwenye saini kwenye degree certificate yangu? (ex-Chief academic officer wa udsm?) karibu sana mkuu, hivi vita vya fikra ni vyetu sote.
 
Karibu ndugu jamvini. Naona wamekudaka kwa maswali kibao kama mashushushu badala ya kukukaribisha.

Hii ni public figure ndugu yangu, ni vizuri, kama inawezekana na kama haogopi kutoa identity yake, ajitambulishe kama akina Dkt Slaa, Zitto Kabwe na Kitilla Mkumbo! Otherwise na mimi namkaribisha kwa mikono miwili, whether ni yeye mwenyewe au vinginevyo!
 
hi jf users!
It's another new member in the forum.
Salaam kwa washika dau wote pamoja sana katika kuleta mageuzi ya kifikra.
No one can do it except jf!
Bye!
weye ni yule "general mayunga nkuya" aliyetuvuruga miaka ileee pale udsm na "extension program" ya hovyo iliyowafanya wanafunzi walazimike kushinda kwenye vi- mbwete kwa kukosa madarasa na viti vya kukalia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom