Re: Nikki minaj awatukana wakatoliki duniani

Status
Not open for further replies.

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA UDHALILISHAJI WA DINI YA WAKATOLIKI.. ALAFU HAWA YOUNG MONEY WANAJIONA WAMESHAWEZA SANA MAISHA.. WAKATI HAYO YAKIENDELEA, DRAKE WA KUNDI HILO HILO AMEANZISHA BIFU NA MKONGWE COMMON. NA LEO AMETWEET KWAMBA HE DOESNT DEAL WITH LESS SUCCESSFUL NIGGAZ.. HAWA JAMAA WAMEKUWA ***** SIJUI KWA NINI. TENA HUYU NIKI MINAJI AKIJA KUWAFANYIA HIVI WASUNI LAZIMA WAMLE TIGO ALAFU WAMFUNGE NA BOMU KIUNONI.. SHAME ON THEM, NA TRACK ZAO SIDOWNLOAD TENA

http://www.mtv.com/photos/mtv-buzzw...12-grammys-photos/1679116/6896670/photo.jhtml
 
Attachments

  • Niki minaj.doc
    398.5 KB · Views: 175
hawa wana muziki ni pasua kichwa kweli kama Lady Gaga kwenye video yake moja hivi aliigiza mambo ya Yesu, Mungu pekee ndo anayejua Hukumu ya hawa watu na wanatuchokoza wakristu coz wanatujua tulivyo, kama anaweza akavae kama Al-shabab aone kitakachomtokea.
 
NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA UDHALILISHAJI WA DINI YA WAKATOLIKI.. ALAFU HAWA YOUNG MONEY WANAJIONA WAMESHAWEZA SANA MAISHA.. WAKATI HAYO YAKIENDELEA, DRAKE WA KUNDI HILO HILO AMEANZISHA BIFU NA MKONGWE COMMON. NA LEO AMETWEET KWAMBA HE DOESNT DEAL WITH LESS SUCCESSFUL NIGGAZ.. HAWA JAMAA WAMEKUWA ***** SIJUI KWA NINI. TENA HUYU NIKI MINAJI AKIJA KUWAFANYIA HIVI WASUNI LAZIMA WAMLE TIGO ALAFU WAMFUNGE NA BOMU KIUNONI.. SHAME ON THEM, NA TRACK ZAO SIDOWNLOAD TENA

http://www.mtv.com/photos/mtv-buzzw...12-grammys-photos/1679116/6896670/photo.jhtml

Dah! Hii ni dhambi kubwa sana. Inampasa atubu kabla hajakiona cha mtema kuni
 
Mhh, kama mabaya kumkuta, yangekuwa yameshamkuta lady gaga. Ila wengi wanaponda kanisa katoliki kwa sababu lina maovu mengi na waache waliponde. Watajiju. Mi nina deal na nafsi yangu. Mbona Leonardo Da Vinci hakupata madhara alipolifichua maovu yake?
 
Common ni level zingine!alikuwepo na ataendelea kuwepo!hip hop legend....Drake amefail hapo!
 
Huyu mtoto naye ni bangi zinamzingua! Hilo genge analokua nalo kina Lill Wiyne linamuharibu!
OB-RT762_grammy_E_20120212202310.jpg
 
hakuna dhambi ya kuvaa kama papa au kuvaa kama sister, papa nae ni binadamu wa kawaida kama nicki minaj,
 
Tatizo katika imani ni kuwa watu wengi wanatukuza mavazi.Lakini kiukweli mavazi ni bure kulinganisha na roho ya mtu ,na ndio maana kwa sisi wakristu wala hatuna matatizo nao lakini ingekuwa amepanda hapo jukwaani amevaa hijabu na kaongozana na aliyevaa kanzu na barghashia kwa wenzetu wangeandamana dunia nzima na pengine hata kutangaza Fatwa kwa kuwa wao wanaangalia zaidi mwili wa nje , ooops samahani,
 
true, hapo umenena. Wavae tu. Sisi hatujali mavazi.
 
NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA UDHALILISHAJI WA DINI YA WAKATOLIKI.. ALAFU HAWA YOUNG MONEY WANAJIONA WAMESHAWEZA SANA MAISHA.. WAKATI HAYO YAKIENDELEA, DRAKE WA KUNDI HILO HILO AMEANZISHA BIFU NA MKONGWE COMMON. NA LEO AMETWEET KWAMBA HE DOESNT DEAL WITH LESS SUCCESSFUL NIGGAZ.. HAWA JAMAA WAMEKUWA ***** SIJUI KWA NINI. TENA HUYU NIKI MINAJI AKIJA KUWAFANYIA HIVI WASUNI LAZIMA WAMLE TIGO ALAFU WAMFUNGE NA BOMU KIUNONI.. SHAME ON THEM, NA TRACK ZAO SIDOWNLOAD TENA

http://www.mtv.com/photos/mtv-buzzw...12-grammys-photos/1679116/6896670/photo.jhtmlhttp://www.mtv.com/photos/mtv-buzzw...12-grammys-photos/1679116/6896670/photo.jhtml
New generation artist ni matatizo dunia nzima! Wengi hawana vipaji vya kushangaza lakini wanafanywa kuwa maarufu na mfumo wa sasa wa soko! Zamani tuliwapenda wasanii kutokana na ukali wa mashairi na beats za nguvu zikinakshiwa na michano very unique tuliwapenda bila hata wengine tukiwa hatujawahi kuona video zao! Kiukweli kwa wasanii wa sasa wangeweza kutoka bila video na matukio kama Nicky Minaj na Lady Gaga? Lakini ndio kizazi chao hiki kinachopenda ovyo!!
 
acha wewe... pamoja na kwamba ni binadamu.. lakini kwa wakatoliki tunamheshimu kama kiongozi wa kanisa letu.. na kwasababu ana vazi lake special awapo kny ibada.. vazi kama hilohilo likitumika kny mambo ya starehe kama hivo.. it is not right aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom