RE: Naweka 'coma' (,) leo...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/159209-naweka-koma-jf-leo.html

With reference to that post..ya 29th July 2011....niliaga hapa jukwaani kuwa ningepotea kwa muda kiasi! sikutarajia ingekuwa muda mrefu kiasi hiki (miezi nane na ushee)...ila sasa nimerudi!
Mabibi na mabwana, it feels gud to be back though kuna nyakati nilipata fursa ya kuandika na kupita hapa but sasa I am officially back.
I really missed u guys...and i hope wote mu wazima na salama..hakuna aliyetutoka.
Pamoja sana wandugu....tukutane around!
 
nukta tena mkuu?? si nitakuwa nimeKanumbishwa!??

pumzi ipo ndugu...tena sana! ila kikazi zaidi this time...

nashukuru kusikia ivo ndugu yangu...basi hiyo ndo furaha yangu!
mpaya je!??
Humu mambo yako sawia si mchezo we vuta subira wadau bado wamalizia makulaji ya pasaka utawaona baadae wamekuja kwa fujo
 
nukta tena mkuu?? si nitakuwa nimeKanumbishwa!??

pumzi ipo ndugu...tena sana! ila kikazi zaidi this time...

nashukuru kusikia ivo ndugu yangu...basi hiyo ndo furaha yangu!
mpaya je!??

nafurahi umekuja kikazi zaidi... ila naomba ujue kuwa Smile ni wangu ...
 
Karibu sana kijana wangu,ila kuna watu tuliwapoteza wakati haupo,akiwemo dada eti mpendwa Regia Mtema(RIP) and others,chetuntu(r.i.p) may be na guest users wengine pia,lakini kuna members walifiwa hapa na wengine waliugua lakini yote ni kazi ya Mungu.
 
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/159209-naweka-koma-jf-leo.html

With reference to that post..ya 29th July 2011....niliaga hapa jukwaani kuwa ningepotea kwa muda kiasi! sikutarajia ingekuwa muda mrefu kiasi hiki (miezi nane na ushee)...ila sasa nimerudi!
Mabibi na mabwana, it feels gud to be back though kuna nyakati nilipata fursa ya kuandika na kupita hapa but sasa I am officially back.
I really missed u guys...and i hope wote mu wazima na salama..hakuna aliyetutoka.
Pamoja sana wandugu....tukutane around!

Natumia fursa hii kama Acting JF Superintendent, kukukaribisha tena jukwaani.
Karibu sana kaka mkubwa...
 
karibu tena. pole na safari, hivi huwa mnaenda wapi? hujakutana na member wengine wa jf huko.
 
Hahah Bwana dubu tunatafuta pesa/heleri kaka...
Huku inawezekana wako wengi ila hatujuani so inakuwa tabu kidogo...
O'wise, u mzima wewe!??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom