Re:natafuta kabinti kazuri mzumbe univeristy

duh!!! sasa wewe unasema hupo hapo mzumbe kwenyewe...kwa nini uweke post hapa jf? sii utongozee tuu hapo hapo mzumbe!!!
 
Ohh..plse I'm very serious with my appeal...no one around MU plse..life is getting so lonely down here...
 
kweli wewe domo zege.sasa hata mkitongazana kwa pm si kuna vitu vingine kuvifanya itabidi muonane?sasa kama hata kumface umpendae hapo ulipo unaogopa unafikiri itakuaje?hata nashindwa nikusaidieje.jitahidi kutafuta kwa macho au unataka mwanajf.Mungu akusaidie ufanikiwe hitaji lako.mia
 
Kwanini unasema domo zege??,naheshimu mawazo yako na unahaki hiyo,ila nami nahaki yangu ya kukujibu,tatizo letu tuna utamaduni wa kukalilishwa kilakitu kuanzia masomo,tabia na hata utamaduni!nani kawambia e-dating ni kua domo zege?mi naamini hii ndio njia sahihi zaidi ya kuonesha uitaji,sio mpaka uone naonekanaje au na nini ndio iwe sababu ya kunisikiliza na kunipenda...
domo zege!
 
Back
Top Bottom