Re: My husband

igwe hapo tayari unaongelea upande ambao upo kwa huyo mpya na kama kucheat tayari hapo cha kufanya ni jinsi gani unaweza kukaa nao wote wawili hhahahah

wote wawili!.....hili nalo neno
 
Napita tu! kifupi nachukia sana aina uzinzi ulioufanya igweeeeee!

pole kwa kukukwaza,..ila sijazini maake bado sijaoa(maake hili neno ni kali sana)_nimecheat/nimeibia....hata sura yako inaonyesha jinsi ulivyochukia pole sana mpendwa
 
Mie mtu mzima naelewa sana haya mambo yanavokuwa, hivo tu kuleta hapa ni kwamba you care for her
sababu ingekuwa tu cheat ya kawaida wala usingeona big deal, infact umependa alivokuita husband na umeweka big deal of it

My hubby ilikuwa rahisi sana kumteka, sababu ya u innocence niliyokuwa nayo,msichana mdogo, sijaguswa na mwanaume, kind of a girl next door
ila nilijua what is going on kwenye dunia hii, aliponambia nimpe mda kidogo amwambie nikamwambia mie asinifate mpaka amalizane nae,aaaah igwe ni story ndefu bwana nishaileta mara nyingi sana just nenda kwenye posts zangu

Gaga, sijui kwa nini hapo nimepasoma kwa umakini kweli!.....lol......
 
Mkuu umesema yote ila cheating sio mchezo mwema.fikiri siku unagundua wife kuna njemba inamkunja namna utakavyo jisikia.
Tena wanaokuibia wanapiga show za uhakika.
 
Mhhhhh na wewe sidhani kama una maswali coz tunakutana sana mitaa hii hhahahaaaa, au umepaonaje

nimependa jamaa yako alivyokuta mlango umefungwa na yeye akaufungua kisha akaamua kujifungia jumla...................
 
Purukuchu tiiiiiiiiiiii..tichtich...chit...chit.....tichtich.......chitchit...... hujasema umejisikiaje kuitwa 'My Husband' professional cheater. Watu wanapocheat hawawaambii wanaocheat nao kuwa wana wapenzi kuhofia kunyimwa...wewe Mkareeeeee!
 
pole kwa kukukwaza,..ila sijazini maake bado sijaoa(maake hili neno ni kali sana)_nimecheat/nimeibia....hata sura yako inaonyesha jinsi ulivyochukia pole sana mpendwa
<br />
<br />
Sijakasirika,bali umenishangaza sana na hii mambo yako uliyofanya Igwe. Kama haujaoa jua kuwa wewe ni gold in the mud,there for gold digger are attemps to dig it so its the matter who has a sharpe hoe to dig it.unayajua mambo ya gold digger wewe?kaa chonjo igweeeeeeeeee!
 
gold digger,.....mmmmmmh!...umenikumbusha ule wimbo wa kanye west
 
Mi kuna mmoja nilikuta amenisevu "****".......na kuna huyo alishamsevu jamaa eti "yaah man"....

huyo una msev 'yaah woman'....then ngoma droo(makweche)
 
Back
Top Bottom