Re: My husband

A very clever girl

Gaga, bora weye umeliona hili.....
wadada wengine wanamponda kweli huyo ''clever girl ''kwa kujibinafsisha.....
Isitoshe, sioni cha kushangaza sana kwa kile alichokifanya....................
kwani wadada wengi wapo hivo kwa sana tu.........

kwanini tusianze kulaumu kwa yeye kumvulia chupi mume wa mtu...................
Na tunalaumu yeye kumsave jamaa ''husband''?

Kuna wadada wengine unakuta amekusave kabisa eti.............''Baba Collin'' ..........lol.......
sembuse huyu kukusave my husband?
 
mjini hapa...ungejuaje kama umeseviwa ivobila ya yeye kukupa simu...ndo wanavooanzaga ivo...many more to come stay tunned.
 
Just to sum up in a few words....................................She loves u.

of coz_na ndio maana alikubali tu cheat,...je!..lakn mm ni husband wake au ni magumash_hapo ndio swali lilipo
 
Gaga, bora weye umeliona hili.....
wadada wengine wanamponda kweli huyo ''clever girl ''kwa kujibinafsisha.....
Isitoshe, sioni cha kushangaza sana kwa kile alichokifanya....................
kwani wadada wengi wapo hivo kwa sana tu.........

kwanini tusianze kulaumu kwa yeye kumvulia chupi mume wa mtu...................
Na tunalaumu yeye kumsave jamaa ''husband''?

Kuna wadada wengine unakuta amekusave kabisa eti.............''Baba Collin'' ..........lol.......
sembuse huyu kukusave my husband?
Kila msichana anacheza karaa zake akitaka kuwa na uhusiano wa kudumu na mkaka fulani
huyu jamaa anagirl friend tu wake na sio mke hivo chance zipo, by the way nilipoanzana na mume wangu
alikuwa na girl ambae tayari kampeleka hadi kijijini kwao, kwa hiyo inategemea na karata zako unavocheza
na jamaa mwenyewe kama kafika kama huyu IGWE
 
unajuaje kama nimefika,.....mm nilitamani....lakn i can smell kaukweli........gaga endelea na story yako na ua hubby
 
<br />
<br />

Keren yaani saa nyingine watu tunakuwa kama vile akili tumeshikiwa na mtu. Sasa kweli hapo kilichomfanya asevu hilo jina hivo ni nini huku kaambiwa wazi? Si upoyoyo huo?

bht...mimi nafikiri mdada hana kosa, yeye ndo kaona kapata hivyo...nafikiri ana mikakati ya kuhakikisha huyo anapendwa kwa "dhati" anapigwa kibuti, ili ndoto yake itimie!
 
unajuaje kama nimefika,.....mm nilitamani....lakn i can smell kaukweli........gaga endelea na story yako na ua hubby
Mie mtu mzima naelewa sana haya mambo yanavokuwa, hivo tu kuleta hapa ni kwamba you care for her
sababu ingekuwa tu cheat ya kawaida wala usingeona big deal, infact umependa alivokuita husband na umeweka big deal of it

My hubby ilikuwa rahisi sana kumteka, sababu ya u innocence niliyokuwa nayo,msichana mdogo, sijaguswa na mwanaume, kind of a girl next door
ila nilijua what is going on kwenye dunia hii, aliponambia nimpe mda kidogo amwambie nikamwambia mie asinifate mpaka amalizane nae,aaaah igwe ni story ndefu bwana nishaileta mara nyingi sana just nenda kwenye posts zangu
 
bht...mimi nafikiri mdada hana kosa, yeye ndo kaona kapata hivyo...nafikiri ana mikakati ya kuhakikisha huyo anapendwa kwa "dhati" anapigwa kibuti, ili ndoto yake itimie!

sina mikakati yoyote ya kuvuka hii line ya usaliti(kucheat),....anyway time will tell
 
Mie mtu mzima naelewa sana haya mambo yanavokuwa, hivo tu kuleta hapa ni kwamba you care for her
sababu ingekuwa tu cheat ya kawaida wala usingeona big deal, infact umependa alivokuita husband na umeweka big deal of it

My hubby ilikuwa rahisi sana kumteka, sababu ya u innocence niliyokuwa nayo,msichana mdogo, sijaguswa na mwanaume, kind of a girl next door
ila nilijua what is going on kwenye dunia hii, aliponambia nimpe mda kidogo amwambie nikamwambia mie asinifate mpaka amalizane nae,aaaah igwe ni story ndefu bwana nishaileta mara nyingi sana just nenda kwenye posts zangu

nimepata na kujifunza mengi kwenye hii comment,......thanx gaga
 
Alijua ungepekua na nia yake ilikuwa uone amekusave vipi. Jaribu kupekuwa sku nyingne kama hujakuta umeseviwa kubwa jinga.
 
hahahahahaaaaaaaaaaaaa!............hakuna rangi atakayo kosa kuona
 
sina mikakati yoyote ya kuvuka hii line ya usaliti(kucheat),....anyway time will tell

igwe hapo tayari unaongelea upande ambao upo kwa huyo mpya na kama kucheat tayari hapo cha kufanya ni jinsi gani unaweza kukaa nao wote wawili hhahahah
 
Napita tu! kifupi nachukia sana aina uzinzi ulioufanya igweeeeee!
 
Back
Top Bottom