Re: My husband

ina maana....simu ikita.....kwenye screen jina linatokea...Low Battery.....utajibeba...
Kumbe mko wengi wa "My husband " eeh?
Nilidhani unasema ile siri yangu kuwa Battery ya mchuma wangu haichaji!...nisingekuazima wala usingeiona au kuigusa teeeeena!

ha ha ha haaaaa wadada wa siku hizi wako very strategic... na alikukupa simu makusudi ili ushuhudie anakupenda kiasi gani!! hongera

Nyamayao my dearest of the dearest....nilikumiso pia ila nikasema ngoja nikuache uzisake kwanza maana ndo muda. Niliamini u hai bana.

Yaani haya mapenzi ya dhati naona yana definition mpya. Na huyo dada naye bumunda tu

Hahahahahah.....you made my day...lol..:)

• Thanks
Reactions: bht
Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza

<br / WALEWALE! YN NYIE WANAUME MNATABIA MBAYA SN

kwani ww umem-save aje? ungemuachia simu na ww aone ulivyom-save 'kimeo'.
wakati mwingine tunalaumu wanaume kwa kuwaonea! hicho kimeo kimeshaambiwa kuna mpnz anaependwa kwa dhati, sasa yeye amebakia kujiita wife! maigizo@itv.com!

Hiyo maneno ilikuwa kwaajili ya dating na wewe tu!

Alijiandaa toka asubuhi kuwa anaenda kuwa cheated, hivyo alijiweka sawa kila idara, mojawapo ikiwa ni ku'edit jina alilokusave nalo.
Siku Mtokee ghafla ofisini kwake kama utathubutu kupewa uguse hiyo simu!..La utaona ataaga anaenda toilet, then anaedit fasta!
Achana na hawa watu bana!

We huwa huoni tukikaa kwenye yale mavikao yetu ya "mbesii", simu zinawekwa silence, halafu mtu anawasiliana na mjamaa kwa msg tu, tena anaandika ujumbe simu ikiwa uvunguni mwa meza au kwenye pochi!!....wanawake wamesomea hayo maneno bana!

Kwa mtizamo wangu, huyo 'ndito' alikuzidi maujanja mbaya kabisa chalii yangu!

kuna ukweli usio jificha hapo kiongozi wangu,..ngoja ntamuibukia ck bila taarifa ndio ntajua ukweli wa nn alimaanisha

Tayari ameshakamatika!!
Jina kuseviwa tu my husband kashachanganyikiwa!!

nimechanganyikiwa kivp?...mm si wa hivyo wewe,...mm nauliza ina maanisha nn......soma elewa kabla ya kurusha mawe kijana

eti eee!...lakn sitoki mpaka nione mwisho wake utakuwaje?......maake preta kasema ni limbwata

eheee......there you are.....kadri unavyotaka kuona mwisho....ndivyo unavyozidi kutokomea ndani ya penzi la kucheat.......

Back
Top Bottom