Re: Msaada wa shule waungwana

Mtumishi Mkuu

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
259
92
Heshima yenu wakubwa na wadogo. Jamani mimi nina shida moja, ninatafuat scholarship kwa ajili ya kufanya masters degree. Nimeshafanya application kadhaa ila naona kama nahitaji kuomba kwenye vyuo vingi vingi ili kuongeza uwezekano wa kupata. Tayari nimepata admission letter kwenye chuo kimoja cha Uingereza ila kimembe kinakuja kwenye hiyo ada yao ambayo ni kubwa sana kuihimili.

Najua hapa kuna wataalam wengi hivyo nitafurahi kwa msaada wowote ili nifanikiwe. Natanguliza shukrani za dhati, asanteni
 
Sasa mkuu, kama una2ma unakosa so uckate tamaa endelea ku2ma 2.
 
Sasa mkuu, kama una2ma unakosa so uckate tamaa endelea ku2ma 2.

Bado sijakata tamaa mkuu, naendelea kujaribu, ninachohitaji ni majina ya vyuo mbalimbali ambavyo naweza kuendelea kuomba ili nifanikiwe
 
Back
Top Bottom