RE: Mishahara makampuni ya tumbaku ikoje

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Wadau nataka kujua mishahara kwenye makampuni ya tumbaku, Ninaongelea Alliance One, Premium active , au Tanzania
Leaf tobbaco au TTPL. Kwani nataka kufatilia kazi katika makampuni hayo.

Je katika makampuni hayo ni lipi wanalipa mshahara wa juu kuzidi wengine, katika ujumla wao , yaani mfano kama mtu ni officer. Najua mshahara unategemea makubaliano lakini, huwa wanakuwa salary range, asante kwa ushauri na maoni.

Je maslahi mengine ya ajira yakoje ? Katika hayo makampuni ni lipi linaongoza kwa maslahi "mazuri"
 
Baada ya migodini na bandari,hawa jamaa ndio wanafuatia kwa mishahara mizuri.
 
Kuna jamaa zangu wapo Alliance1 mishahara yao ina range 1.5M, kwa kifupi kwenye hz kampuni walipwa vizuri watu ambao wapo utawala (na kuzipata sio rahisi hata kidogo) ila hawa wa kawaida wanalipwa mishahara ya kipuuzi sana..(zenyewe hata ukienda leo kuomba kesho unaanza kazi)
 
Na benefit nyingine ni magonjwa ! Kiafya sio kuzuri huko unaenda kununua kifo tena kwa bei mbaya... !!
 
Kuna jamaa zangu wapo Alliance1 mishahara yao ina range 1.5M, kwa kifupi kwenye hz kampuni walipwa vizuri watu ambao wapo utawala (na kuzipata sio rahisi hata kidogo) ila hawa wa kawaida wanalipwa mishahara ya kipuuzi sana..(zenyewe hata ukienda leo kuomba kesho unaanza kazi)

wahasibu na mainternal auditor wa kawaida wanakula gross ya 800k, na kuna house allowance ya 120k! Ni hayo tu, cyo pazuri kiivyo
 
Halafu tatizo lako hautafuti kazi ila unatafuta mshahara. Kwa nini usimwambie BABA yako afungue kampuni akulipe ml 15 kwa siku, kwani haiwezekani? kuliko kuhangaika kutaka kujua makampuni ya tumbaku, eti. TLTC, AOTLC, PATL na lipi linalipa juu kuzidi jingine.
 
Yetu macho, pengine kosa la muulizaji ni kutokujua na kuuliza!
 
Back
Top Bottom