RE: MH. Mnyika ana akili za kutosha?

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
Jaman mh. Mnyika ametaka leo walimu waliogoma wachukuliwe hatua. Ametamka mjengoni alipokua anachangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Hivi kweli ana akili za kutosha?
My take:
naona hana huruma na walimu waliojaa matatizo lukuki.
Naomba awaombe radhi walimu la cvyo wale wasomi wa mlimani jimboni kwake wampige chini. Kwani wapo wanaosomea ualimu.
 
Mnyika hawezi kutamka uchafu huu, wanaweza wa Mwabwepande tu. Weka clip inayodhihirisha tamko hili. CDM kuna vifaa si dhaifu na legelege.
 
Naona dullah jana hukul daku kwa hiyo leo swaumu imekuwa kali mpaka umeamua kuleta majungu hapa JF!!!

Ni wewe tu umemsikia au na wengine mbona sijaona hata mtu mmoja kusupport???

Mnyika njoo ujibu hii kama kuna ukweli wowote.
 
Last edited by a moderator:
Mnyika hawezi kutamka uchafu huu, wanaweza wa Mwabwepande tu. Weka clip inayodhihirisha tamko hili. CDM kuna vifaa si dhaifu na legelege.

Haaa sasa nimeamini anayependa chongo huona kengeza, yaani mashabiki wa chadema wanafikiri wabunge wa CDM kule bungeni ni malaika, kuwa hawakosei! angekuwa ni mbunge wa CCM ndio kasema hivi moja kwa moja angeanza kushambuliwa bila hata kuomba clip ya tukio hili! Jamani sote tunapenda mabadiliko lakini pia tukubali sisi sote ni binadamu kukosea tumeumbiwa sisi, hata mnyika anaweza kukosea!
 
Mkuu Kilembwe, si suala la malaika kwa wabunge wa CDM ila nasema ninavyomfahamu Mh. Mnyika hawezi kutamka hivyo kwa kuwa anajua ukweli kuwa waalim wanataabika na lengo la CDM ni kuhakikisha yale maisha bora kwa kila mtanzania yaliyoshindikana for the past 7 years with Ari, Kazi na Nguvu basi angalao CDM wanaweza. We have plenty of resources na ndiyo maana tuna wawekezaji na wanaomba kuja kila siku? But hatufaidiki navyo kwa kuwa viongozi wetu nao wanapewa shareholding katika Memorandum hizo. Sorry mkuu, hali halisi ndiyo hiyo.
 
Aibu iwe kwako ewe mleta mada! Mbona mnaaibisha jukwa, ukikosa cha kuandika kaa kimya. Mimi nimemsikiliza J. Mnyika vizuri sana, alichangia kabla ya Bunge kuahirishwa. Ni miongoni mwa Wabunge wachache waliokuja na hoja tofauti. Au unataka tukuambie alichosema, najua hata nikikwambia hautaamini. ACHA UCHONGANISHI NDUGU, KUWA MTAFUTA HAKI KWA NJIA YA AMANI. Je umefunga?
 
mkuu unahangaika na hwa magamba utaumizwa kichwa bure!
 
Bangi ni bangue ili niseme chochote nnachotaka ili mradi nina uhuru wa kusema
 
Jaman mh. Mnyika ametaka leo walimu waliogoma wachukuliwe hatua. Ametamka mjengoni alipokua anachangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Hivi kweli ana akili za kutosha?
My take:
naona hana huruma na walimu waliojaa matatizo lukuki.
Naomba awaombe radhi walimu la cvyo wale wasomi wa mlimani jimboni kwake wampige chini. Kwani wapo wanaosomea ualimu.

Mkuu watakuambia umetumwa Myinka ni mtu makini hawezi kutoa kauli dhaifu kama hiyo..
 
Back
Top Bottom