Re: Mambo ya zanzibari na zanzibara

Karikenye

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
564
279
Z


Z

9k=
 


Kiongozi wa Jumuiya ya kikundi cha uamsho, Sheikh Farid Hadi Ahmed
Baada ya jeshi la polisi kulazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya wafuasi wa kikundi cha uamsho kufuatia kukamatwa kwa mmoja wa kiongozi wao, hali inaendelea kuwa tete na hivi sasa baadhi ya wafuasi hao wameingia mtaani wakishinikiza kuachiwa kwa kiongozi huyo huku jeshi la polisi likilazimika kutumia mabomu kuwatawanya wafuasi hao …..

1.jpg

Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani katika barabara za Zanzibar na kupeleka ujumbe wao kwa viongozi wa serikali za Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Umoja wa Mataifa wakitaka Zanzibar huru ambapo baadhi ya watembeaji hao wakiongoza na Kiongozi wa Jumuiya hizo, Sheikh Farid Hadi Ahmed na viongozi wengine

 
Hahahahahaaa mbona kama huyu Fwaridi ni Mwarabu..hawa wamatumbi wengine kikinuka wataenda wapeeeeeeeeeeeeeee?????
 
ZnZ hakuna warabu au wamatumbi, wote ndugu!

ni kweli kabisa, hapa kwetu zanzibar sisi sote ni ndugu. Mwarabu akitoka komoro, usherisheri na au oman ni ndugu, ila mnyamwezi, msukuma, mmasai akitoka bara si ndugu bali ni jamabzi na amekuja kutubana pumzi na kufanya ujambazi- hatumtaki..................
 
Kumbe hawa waarabu ndiyo wanaoleta choko choko zote hizi za kuchoma makanisa, hayeni wazenji weusi ole wenu muungano ukisha vunjika mnarudi kwenye uwana tena mkiwatumikia mabwana zenu wa kiarabu, hivi mnamuona Mzee Abedi alikuwa hamnazo kuwawinga hawa waarabu nyie mnawakumbatia kwa kuwachomea nyumba wenzenu hayeni bana.
 
Kumbe hawa waarabu ndiyo wanaoleta choko choko zote hizi za kuchoma makanisa, hayeni wazenji weusi ole wenu muungano ukisha vunjika mnarudi kwenye uwana tena mkiwatumikia mabwana zenu wa kiarabu, hivi mnamuona Mzee Abedi alikuwa hamnazo kuwawinga hawa waarabu nyie mnawakumbatia kwa kuwachomea nyumba wenzenu hayeni bana.

ID yako inamaana tosha kwa wanzanzibari wanataka kujitawala huelewi wewe
 
hivi kwanini hawavai viatu? wanaharakati wanashindwa kuvaa buti!
 
Back
Top Bottom