Re: Kupumua

chimala

Senior Member
Jul 2, 2010
156
30
Kila nikijamba lazima harufu mbaya itoke, hii inasababishwa na nini, na vijambo vyote huwa ni usiku nikiwa nimelalaa au karibia kulala
, kasheshe ni pale nipo na mchumba wangu yaani ntamjambia weeeeeee mpka naogopa, nahisi namkera sana,
nifanyeje kupunguza kujamba au hata nikijamba visitoe harufu
 
Hili tatizo si lako tu, Madem wenggi humu JF wana tatizo kama lako. Acha kutumia kilevi kama bia.
 
Toa tiba King karibia ntaachika sababu ya kujamba,na vina harufu mbaya sana

Mbinu ya kumpunguzia kero ni kuepuka kujifunika shuka moja. Akishamaliza kukuchapa chukua shuka jingine jifunike halafu masaburi yako elekeza karibu na dirisha.
 
we inaonekana hunywi dawa za minyoo halaf unapenda sana mikachumbari..sasa bila shaka huko kwenye masaburi kuko wet sana?? yani unyevu nyevu?? basi ni minyoo hiyoo..mtu unajamba kwa biti ..ha ha jaman jf NOMAAA nimepigwa ban lakini hii ni fake account mana siwez kuvumilia kukaa bila kuingia humu..eti najamba
weeeeeeeeeeeeee...kah

Hiyo chupi ina uhai ama ndo iko kama hivi?
View attachment 43859
 
Daa kwa hiyo inabidi nikapime nina aina gani ya minyoo au hata nikienda kwa chemist kununua deworms inatosha
 
Jaribu kunywa maji mengi kama ulivoshauriwa na jitah kuto changanya sana vyakula, kwani uchanganyaji wa vyakula vingi hutengeneza harufu mbaya vinapochacha ndani ya tumbo, pia kama mlaji mzuri wa mayai yakuchemshwa jitahidi uwe unakula kiini na kuachana na ule ute mweupe,

hali ikizidi kuwa mbaya pata ushauri wa daktari.
 
Back
Top Bottom