Kama kweli mko ktk mapenzi ya dhati, basi sioni tatizo kwani unaficha nini huko usikotaka password mkeo/mumeo ajueHii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.
Je hii ni FAIR..?

Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.

Je hii ni FAIR..?
Kama mwili wako unashea nae kwanini password ushindwe?!
I have nothing to hide to my Wife, Mke wangu anajua account zangu za Benki, anajua password yangu ya Mpesa, anajua password yangu ya NMB mobile, na most of them ni aidha Umri wake au Jina Lake
I have nothing to hide to my Wife, Mke wangu anajua account zangu za Benki, anajua password yangu ya Mpesa, anajua password yangu ya NMB mobile, na most of them ni aidha Umri wake au Jina Lake
Gud Idea

Not fair. Why would your girlfriend or boyfriend need your ATM PIN kama si maslahi?
Mapenzi ya ukweli yasihusishe hela.
I encourage people to look into prenup agreements kabla hawajaoa au kuolewa na wapenda PIN za wenzao.
Lizzy bwana, eti mwili wako unashea nae!!!!!!!!! Hivi ni nani anashea mwili wake na mtu mwingine??Kama mwili wako unashea nae kwanini password ushindwe?!
I hate sharing my so called email passwords!! I once told mine that, my email contains some confidential info which is a part of my Professional Conduct!! nikikupa nitakuwa siitendei haki kazi yangu na bado nitakuwa narisk hizo documents. .
Sio hvyo ndugu wanawake wana nature ya kutopenda kutegemewa na midume yao sasa kuepuka hayo matatizo huwa wanajiweka pazuri ili isiwe tabu.