Re. Kiingereza..na dada zetu wa ki tz

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Nimegundua dada zetu wa ki Tz wanavutiwa sana na wanaume wanoongea Kiingereza...haijalishi wa nchi gani.
Pia huwa ni vigumu kukataa kama wakitongozwa kwa kidhungu.... ndo maana wakaka wa kikenya wanatumalizia dada zetu... mfano hai ni wadada wengi wanaofanya kazi ofisi moja na wakaka wakenya eti nao wana lafudhi ya kikenya kwenye kiinglish chao...au kama kuna mgeni ambaye hajui kiswahili ofisini basi utakuta anajistorisha na huyo mkaka kwa kizungu kwa sauti alafu utakuta anacheka hata kama kitu hakichekeshi.
 
Naaaaaam.................
AAaaaaaaiseeeeeeeeeeeee.......
Na sisi tunaongea kifaransa, na ki-congoman inakuaje....?
 
true................tena kwa kiingereza unaweza kupewa mzigo bila malipo
 
so i havv to len inglish to get ze galz. let me luk fo mai inglish ticha :wink:

EDIT: Boflo r u spikin from xpiriansi?
 
Hahaha! Umenichekesha sana aisee. Ila kutongozwa kwa kiswahili fasaha nayo nahisi ni very awkward flani hivi?
 
I like the guy who is maltilingual but that can not be a motivating fator to fall on him but only an added advantage.
 
Usilolijua litakusumbua, wangejua wakenya hawajui kiingereza wala kiswahili bali lugha za makabila yao wala wasingejidhalilisha hivyo. Wangejua ukweli kuhusu hali za maisha hasa kwa watu wa kawaida huko Kenya wala wasingepoteza muda wao. Wenzenu wakitoka huko na kuja Bongo wanaona wako peponi ikilinganishwa na kwao ambapo wezi wachache wamekomba kila kitu. Wangewachunguza wanavyoogopa hata kununuliana bia na vitu vingine vidogo wangeachana na kamradi hako ka hasara na aibu. Kiiingereza mbona ni lugha kama nyingine sema tofauti yake ni kwamba inaongelewa na watu wengi duniani?
 
Any entertaining, adoring and loving lady in lieu of a tranquil deluxe night out here at JF?
 
Kumtongoza mwanamke ni 'timing' tu..
Sio lazima kujua kiingereza, kiswahili,,n.k.
Kikubwa mpangilio wa 'verses' zako
 
Back
Top Bottom