re:KAMA KWELI WATANZANIA TUNATAKA KUMUENZI HAYATI NYERERE

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Habari wakuu,
jamani kama kweli watanzania tunataka kumuenzi hayati baba wa taifa bac ifikapo tar 31 october tufanye ivyo kwa kuingoa ccm madarakani kupitia kura zetu kwani mwl alichukia rushwa kutoka moyoni ata ukimwangalia kwa macho unaona ivyo, akupenda kulimbikiza mali kama wafanyavyo viongozi wengi leo hii,akuwa fisadi wala akupenda ufisadi.

ccm ya leo aifati yale mema ya mwl so tutamwenzi kwa kura yetu ya hapana hapo tutakuwa tumefanya jambo zuri
 
tuna nia kabisa ya kumuenzi baba lakini hawa jamaa unawajua walivyo chori chori....tutajitahidi kadri ya uwezo wetu.....mimi na kizazi changu kuanzia cha kwanza hadi cha nne tumejiandaa kufanya hivyo
 
tuna nia kabisa ya kumuenzi baba lakini hawa jamaa unawajua walivyo chori chori....tutajitahidi kadri ya uwezo wetu.....mimi na kizazi changu kuanzia cha kwanza hadi cha nne tumejiandaa kufanya hivyo

ucjali binamu chori chori inamwisho wake na mwisho umewadia uwezi kudanganya au kuibia watu milele watanzania wakikataa kuchakachuliwa watawongoza na nani? nipe jibu binamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom