RE: INTERVIEW BoT

Kisiya Jr.

Senior Member
Nov 21, 2011
102
29
kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi ya MESSENGERS BOT kama lnterview ishafanyika au bado tafadhali atujuze maana ndo sehem ninayoitazamia kwa macho ya matumaini.

Nawasilisha.
 
kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi ya PASSENGERS BOT kama lnterview ishafanyika au bado tafadhali atujuze maana ndo sehem ninayoitazamia kwa macho ya matumaini.

Nawasilisha.
Unamaanisha Benk Kuu ya Tanzania? Kama ni Benk kuu ya Tanzania usiweke matumaini makubwa sana endelea kuomba kazi na sehemu nyingine. Pale pana ushindani mkubwa sana maana vigezo vyake wanavijua zaidi watu wanaofanya kazi pale kama akina I.Mkapa, B. Lowasa, Filbert Sumaye na wengine wengi wafuate uwaulize sina contact zao nilizo nazo ni za Vick Kamata tuu lakini nayeye nasikia ameshaacha kazi pale BOT baada ya kupewa Ubunge hivyo hawezi kuwa msaada kwa sasa
 
Kwa maana hiyo kama siyo mtoto wa kigogo chimba mbele. Benki kuu ni zamani siyo saa hivi, pale lazima uwe na roho mtakatifu kama siyo mtoto wa kigogo.

Anza kuomba Mungu wako utapata. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
 
watu tunajua kupigana virungu vya kukoseshana nguvu...!!
 
Unamaanisha Benk Kuu ya Tanzania? Kama ni Benk kuu ya Tanzania usiweke matumaini makubwa sana endelea kuomba kazi na sehemu nyingine. Pale pana ushindani mkubwa sana maana vigezo vyake wanavijua zaidi watu wanaofanya kazi pale kama akina I.Mkapa, B. Lowasa, Filbert Sumaye na wengine wengi wafuate uwaulize sina contact zao nilizo nazo ni za Vick Kamata tuu lakini nayeye nasikia ameshaacha kazi pale BOT baada ya kupewa Ubunge hivyo hawezi kuwa msaada kwa sasa

Asante kunipa moyo wa kukata tamaa,ingawa natambua kuwa ndo ukweli.
 
Kwa maana hiyo kama siyo mtoto wa kigogo chimba mbele. Benki kuu ni zamani siyo saa hivi, pale lazima uwe na roho mtakatifu kama siyo mtoto wa kigogo.

Anza kuomba Mungu wako utapata. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana.

Nilianza na Mungu nitamaliza na Mungu" .Asante kwa ushauri
 
kifedha (kimaslahi) ni eneo zuri sana ila tatizo ni kwamba lazma uwe na mtu atakayekuwa anakusaidia kwenye kupata hiyo kazi ila mungu si athmani utapata tu ndugu!
 
wao wakiwa na watu wewe kuwa na Mungu ambaye ndiye mwenye dunia na vyote viijazavyo. Mungu yupo nasi tutapata tu ajira hata kama ktk ukoo sisi ndo wa kwanza kusoma. Kumbuka Yeremia 17:5 amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadam. Hvyo basi tumtegemee Mungu kwani yeye akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu wala silaha itakayoinuka juu yetu na kufanikiwa.
 
kheee! ninamwezi sasa kazini, naitwa q.simbachawene! bora tfuta kwingine, hapa tuachie wenyewe, niko na kigoda,mkapa,lowasa, we kaombe dcb au banki ya wanawake inakufaa! hahaha!(jokes mkulu)
 
hujui kuna jukwaa la jokes? Kwani ilikuwa ni lazima uchangie huu uzi?
Hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima kwake.
Watu tupo makini we unaleta utani? You are a dispointing
 
wao wakiwa na watu wewe kuwa na Mungu ambaye ndiye mwenye dunia na vyote viijazavyo. Mungu yupo nasi tutapata tu ajira hata kama ktk ukoo sisi ndo wa kwanza kusoma. Kumbuka Yeremia 17:5 amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadam. Hvyo basi tumtegemee Mungu kwani yeye akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu wala silaha itakayoinuka juu yetu na kufanikiwa.
Acheni kumanipulate maandiko jamani, sasa ukiumwa kinachokukimbiza spitali ni nini?
 
ha ha ha ha ha

sasa wasiwasi wa nini kama na wewe mtoto wa kigogo wa Afrika Mashariki.

lla mi ni mtoto wa kigogo pia,babu yangu alikua mfanyakazi wa Jumuiya ya Africa mashariki na alifariki bila kupata malipo yake.
 
kifedha (kimaslahi) ni eneo zuri sana ila tatizo ni kwamba lazma uwe na mtu atakayekuwa anakusaidia kwenye kupata hiyo kazi ila mungu si athmani utapata tu ndugu!

mbona mimi simfahamu mtu,na nina uhakika wa kupata job
 
Ujinga ni adui mkubwa kuliko maadui wote duniani! nakushauri usiwe karibu na adui huyu! Nani amesema B o T ni ya vigogo peke yao? c kweli ila kwa 7bu kunamaslahi then ni kweli kunaushindani mkubwa sana na beuralcracy pia ipo kwa kiwango cha juu sana bt uckate tamaa keep on tryin!
 
Ndo maana nawakubali sana walim kwa busara na uelewa wenu. Asante mwlm Ngasa,fani yako haihitaji hata kuhojiwa,inajieleza ynyw. Keep it up!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom