Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wadau,
Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya mwanasheria?? Naomba ufafanuzi, huenda ninakosa kazi kwa ajili hii..Mimi niiapply kazi, hutoa copies za chuo na sekondari na kuambatanisha na letter of application basi, napeleka. Labda kuna jambo lintakiwa kufanywa kwenye copies za vyeti?? Nisaidieni leo jamani..,Kuna kazi nime apply na leo jioni ndo deadline, asanteni...