Re: Blandina nyoni-katibu mkuu afya-ndio maana baba yangu alinikataza kusomea udaktari

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Katibu mkuu wizara ya afya amewashtua madaktari waliogoma kwa kuwaeleza kwamba anashangaa wao kudai mishahara na hali nzuri kazini wakati baba yake alimkataza kusomea udakatari kwasababu ni kazi duni na isiyo na kipato.

My take:
Huyu mama anamatatizo ya akili. Kweli leo Udakatari umekuwa kazi duni? Kweli huyu mama anastahili kuendelea kuwa katibu mkuu wa wizara ya afya? Kweli anajua umuhimu wa madaktari duniani? Hivi kweli bila afya njema tutaweza kujenga taifa na sisi wenyewe?

Wito Blandina Nyoni Katibu wizara ya afya ajiuzulu
 
President na mawaziri, makatibu wake wakuteua ili lulipa fadhira. Inch inaogozwa kifadhira. Nani ajiuzuru wewe? V8, VX atumie nani. Hongera Blandina kwa kauli hiyo. Watanzania tunakukubari sana
 
unajua ndugu hizi post za kupewa pewa eti kisa katibu mkuu tunatoka sehemu moja,mara ooh bwanako this things is stupidity ndio maana mtu anaropoka anavyojisikia baada ya kuwapa moyo ndio anazidi kuwafanya warudi nyuma hii nchi tusipoangalia uswahiba unatumaliza ndugu zangu kama yeye hasalimiani na waziri na naibu wake wa wizara yake unadhani kuna utendaji wa kazi hapo hakuna na ndio maana anaropoka tuweat
 
akipata sindano ya modicate na dozi ya mwezi ya halopeidol au cpz akili itarudi tu.si kosa lake
 
Katibu mkuu wizara ya afya amewashtua madaktari waliogoma kwa kuwaeleza kwamba anashangaa wao kudai mishahara na hali nzuri kazini wakati baba yake alimkataza kusomea udakatari kwasababu ni kazi duni na isiyo na kipato.

My take:
Huyu mama anamatatizo ya akili. Kweli leo Udakatari umekuwa kazi duni? Kweli huyu mama anastahili kuendelea kuwa katibu mkuu wa wizara ya afya? Kweli anajua umuhimu wa madaktari duniani? Hivi kweli bila afya njema tutaweza kujenga taifa na sisi wenyewe?

Wito Blandina Nyoni Katibu wizara ya afya ajiuzulu

Aliyasema maneno hayo wapi na lini??
 
Sidhani kama anaweza kutoa kauli hiyo kwa sasa!!!!kwa vile mambo yameshavurugika atawekewa maneno mengi mdomoni.
 
Baba yake alimkaza? Watu wataelewa vibaya ndugu, rekebisha hayo maneno.
 
Huyu ni mdogo wake:

Sign up for Twitter to follow Juliana Joseph Badi (@Semtwa). Hi!am simple girl nd happy!I hv my small business!Catering,bsns name(MAMA'S KITCHEN)

Haya mtuamabie amepata tenda ngapi za catering hapo MoHSW
 
President na mawaziri, makatibu wake wakuteua ili lulipa fadhira. Inch inaogozwa kifadhira. Nani ajiuzuru wewe? V8, VX atumie nani. Hongera Blandina kwa kauli hiyo. Watanzania tunakukubari sana

wewe tumia lugha vizuri MHAYA NINI. >Fadhira>>ajiuzuru>>tunakukubari....haha. ongea vizuri
 
kwenye heading yako baba yako alikukaza ndio nini?
Halafu hapa unataka uonyeshe kwamba nawewe darasani biology na chemistry ilipanda?
 
Kuna umuhimu wa kurudisha mafunzo ya methali, zilikuwa na uhasilia sana kwa mfano:

Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Blandina usidharau madktari siku moja itakuwa na shida kwao na watakusaidia.

Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto. Blandina Ukifa au ukihama Tanzania Ndio utamke haya maneno

Baniani mbaya kiatu chake dawa Blandina madaktari wabaya wizara yao unaifisadi kwa kwenda mbele

Wacha hizo mama, tafuta kitabu cha misemo ya wahenga kitakusaidia sana
 
Nafikiri anadhani udaktari ni fani ya kuigiza, kwa uwezo wake mdogo wa kushughulikia mambo sidhani kama angeuweza mziki wa udaktari. Nashangaa hata huko amepitajepitaje huyu mama asiyejifahamu.
 
Kama kweli ameyasema haya hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa.Jamani huyu mama alikuwa Accountant General hivi alitolewa kule kwa kuvurunda?
 
Back
Top Bottom