RC Tanga amdhalilisha mganga mkuu wa wilaya

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kuna tetesi kuwa RC wa mkoa wa Tanga ametumia cheo chake vibaya na kumdhalilisha mganga mkuu wa wilaya moja ya mkoa huo.
Haya yametokea wakati RC huyo akifanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
RC alichukizwa na kitendo cha daktari huyo kunywa maji mbele yake na hivyo akaamua kumnasa kibao na baadae kuagiza apelekwe mahabusu.

My Take:hii ni stori ya pili ndani ya wiki chache inayohusu wanasiasa wa Tanga kuwadhalilisha watendaji.hizi ni dalili za ccm kupoteza uwezo wa kuongoza na sasa wanalazimisha kuogopewa.

POLE SANA MUATHIRIKA WA TUKIO HILI.
 
Yaani kunywa maji mbele ya RC ni kosa la kupigwa kibao?nashangaa sana!!ni udhalilishaji sana,ila kwa sababu mahakama zipo kwa ajili ya haki,huyo daktari aende magakama kuu akadai fidia kwa shambulio la aibu .......atapata haki yake,wanasheria wamejaa kibao kwa ajili ya haki yetu!
 
mganga wa wilaya(DMO) huwajibika kwa mganga wa mkoa(RMO) inashangaza kuona RC anashindwa kuobserve ''chain of command''
 
mganga wa wilaya(DMO) huwajibika kwa mganga wa mkoa(RMO) inashangaza kuona RC anashindwa kuobserve ''chain of command''

Mkuu...na wanao pigwa nao wanawaendekeza....yaani kunywa maji unapigwa then unasubiri mahakama ndo isemee utu wako?????

Bora nikae hukuhuku bila hata kuwa na audience na watu wa namna hiyo...........kuua bila kukusudia yaweza kuwa kichwa cha habari
 
Unajua laiti km huyu RC angekuwa hana hicho cheo, anapashwa fahamu RC c jina lake ni cheo tu ipo cku hizi herufi 2 hatakua nazo. Biblia inasema "heri mbwa koko kuliko simba aliyekufa" km ana akili timamu atajutia alichokifanya
 
Kunywa maji nipigwe!!!!Kule kahama DC alimtoa diwani kwenye mstari wa chakula!!!Kuna DC alimdhalilisha mwanasheria juu ya taaluma yake!!!Huko Bukoba,DC alishawahi kuamuru walimu wachapwe!!!Mhhhhhhhh!!?????
 
ushenzi huu mie nisingevumilia,,ningemrudi huyu RC mpaka navunja miguu
 
Mkuu...na wanao pigwa nao wanawaendekeza....yaani kunywa maji unapigwa then unasubiri mahakama ndo isemee utu wako?????

Bora nikae hukuhuku bila hata kuwa na audience na watu wa namna hiyo...........kuua bila kukusudia yaweza kuwa kichwa cha habari

Mkuu hata mimi kwenye red ingekuwa ndo uamuzi wangu,huyo pimbi angenikoma
 
kuna tetesi kuwa RC wa mkoa wa Tanga ametumia cheo chake vibaya na kumdhalilisha mganga mkuu wa wilaya moja ya mkoa huo.
Haya yametokea wakati RC huyo akifanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
RC alichukizwa na kitendo cha daktari huyo kunywa maji mbele yake na hivyo akaamua kumnasa kibao na baadae kuagiza apelekwe mahabusu.

My Take:hii ni stori ya pili ndani ya wiki chache inayohusu wanasiasa wa Tanga kuwadhalilisha watendaji.hizi ni dalili za ccm kupoteza uwezo wa kuongoza na sasa wanalazimisha kuogopewa.

POLE SANA MUATHIRIKA WA TUKIO HILI.
habari iko kimbeya zaidi, sema nani kzabwa na ni wapi na ilikuaje; tuko kwenye zama za kutajana............ usisababishe wengine tulio ma_DMO kuulizwa na wake zetu kama tumezabwa vibao funguka zaidi wewe ki***

unaongea kama Nape

nyambaff
 
Anaitwa nani RC huyu? Angefaa sana enzi za ukoloni wa kijerumani 1885-1918 lakini si Tanzania ya leo.
 
Kunywa maji ndo mtu apigwe kibao au kuna mengine nyuma ya pazia? Vyovyote vile hizo ni tabia za kikoloni!!!!
 
Mkuu hapa JF story hazitolewi nusu nusu..! Funguka tutajie kwa jina huyo RC na jina la huyo anaesemekana kuzabwa kofi.. Only then ndo ntaweza kutoa maoni yangu..
 
Naye ashtakiwe kma DC wake wa Korogwe aliyemdhalilisha Mwanasheria w a halmashauri ya Korogwe
 
Ingekuwa mimi ningemlima kichwa cha uso mpaka apoteze fahamu yaani nina kiu alafu nisinywe maji...kha kuna mijitu ina roho mbaya humu duniani.

Mbona mkuu wa nchi hayuko hivyo haya mawatu yanapata wapi hiyo miji roho ?
 
Back
Top Bottom