RC Dar, Mwanza, Mbeya Kandoro acha fitina na wamachinga...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Huyu Kandoro yeye ndo Mwiba wa kutengeneza fitina za wahangaikaji waliojiajiri kwa nguvu zao wenyewe.Yeye kwa sifa na sera ya safisha jiji basi ndo Kuwaumiza wengine.
We kandoro unamatatizo gan?
 
kandoro hana sifa ya kuwa mkuu wa mkoa. kazi yake kubwa ni kuanzisha vita, damu ya kijana aliekufa mby iko juu yako
 
Nasikia KANDORO sio Mtanzania ni Myemeni ndio maana anapenda sana vita na wenyeji wa nchii kana kwamba bado mwarabu anatutawala
 
Back
Top Bottom