RC Arusha vs kituo cha redio kilichomhoji Lema

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,645
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A).

Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka.

SOURCE WAPO FM.
 
ndo tatizo la tz..jitu lilikwa sijuo pishi magereza unalipa u rc linaweweseka tu nakuwehuka katika maamuzi..ndo maana watu wanawaingiza vijiti matakoni kama walivomfanya gadafi
 
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A). Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka. SOURCE WAPO FM.

mkuu kuna search warrant yeyote waliokuwa nayo polisi kutoka kwa jaji ?? bila hivyo the search was illegal na kingine ni kwamba kama hawapendi alichoongea LEMA wanapaswa kumfuata ni Lema na siyo RADIO kwani radio ni mesenja na huwezi ku edit strong opinion za mgeni kwenye kipindi.
 
Dah! Mkuu wa mkoa naye ana nguvu hivo za kifalme? Urais wa kifalme na uRC wa kifalme.....! Hii kali.
 
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A). Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka. SOURCE WAPO FM.

Inabidi na nyinyi waandishi muwaelimishe wajua jukumu la vyombo vya habari kuwa ni sauti kwa ajili ya wasio na sauti. Wao wanasauti je wasiona sauti watasemea wapi?
 
Huyu RC amekuja arusha kwa kumkuku sana, namshauri afanye mpango wa private jet endapo hali ya mchezo itakapobadilika ajinusuru kufinywa na wananchi.
 
Ni "sunrise fm" kama sijakosea, ila hyo taarifa sijaisikia hapa mjini.

habari hizi zilithibitishwa na meneja wa kituo. Alipoulizwa RPC alidai kuwa wao wanajukumu la kuvielekeza vyombo vya habari ili visitangaze mambo yatakayochochea uvunjifu wa amani.
 
Nasikia Lema alimuita RC "mjinga", lakini kwa kiswahili sanifu ujinga ni kutokujua kitu. Au tuseme RC wa Arusha anajua kila kitu?
Ikithibitika kuwa kuna kitu japo kimoja ambacho RC hakijui basi ilikuwa sahihi kwa Mh Lema kumuita hivyo!

Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A). Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka. SOURCE WAPO FM.
 
Hana lolote huyo amepewa cheo kwa kumusaidia hela za kufanyia kampeni mkuu wa Kaya. Na hakuna wa kumuuliza wala kumuwajibisha
 
Hivi masaburi ya huyo rc yakoje? Nani anapekua masaburi hayo, maana ana kiherehere. Watu wa arusha, kazi kwenu, pakueni hayo masaburi ya mjinga.
 
Angejua watu wanamtamani asingefanya foolish move kama hiyo, huyo angoje asubuhi watu waamke wasikie hii habari
 
hizi post za RC na DC zifutwe tu, hazina tija. Za kupeana ulaji kwa washkaji hazi-add value yoyote kwa taifa
 
Mkurugenzi wa kituo hicho cha sunrise ndiye aliyefanya mahojiano na mh. g lema (Mb), siku hiyo lema alieleza mambo Mengi pamoja na kuhusu kukamatwa kwake kila mara. nakumbuka mh lema alizungumzia kuhusu mgogoro wa umeya, napia rc anataka kukuza mgogoro badala ya kutatua, hapo ndipo alipotumia neno mjinga. mwandishi alimuomba mh lema afute usemi wake huo wa kumwita rc mjinga!! mh lema akasema "rangi nyekundu acha iitwe nyekundu na nyeusi iitwe nyeusi". maoni yangu, mwandishi hakuwa na shida ila rc amtafute lema apambane naye kuliko kuongeza idadi ya maadui.
 
kituo kitume malalamiko MCT haraka! Pia kimfungulie RC mashtaka kwa kukiuka uhuru wa vyombo vya habari! Hili lisipite hivi hivi,atazoea huyo MJINGA!
 
Back
Top Bottom