Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Hata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
images
images

!
!
Maji gani? Hayahaya ya kienyeji au yepi?
 
Mwanamke akijichubua mi humuelewa kuwa anatafuta muonekano utakamungozea soko...sasa tabu ni kwa wanaume !!!!!!!!!!!!!!!!!!........mwenye majibu ya kunitoa tongotongo na anijuze
 
Mabwawa yote ya kuogelea Tz yamejaa, maji kwenye ma bar na vibandani kwa mangi yananunuliwa kwa kasi ya ajabu.

Hii ni baada ya Ray Kigosi kusema weupe wake si wa mkorogo, bali unatokana na kunywa maji mengi tu.

Huyu jamaa sijuwi katumia sayansi gani.
Sure mdau,nimeshuhudia watu wengi wakinywa.maji baada ya hiyo news
 

Attachments

  • 1455812168149.jpg
    1455812168149.jpg
    40.5 KB · Views: 49
  • 1455812181058.jpg
    1455812181058.jpg
    69.9 KB · Views: 56
  • 1455812204558.jpg
    1455812204558.jpg
    43.5 KB · Views: 43
  • 1455812347794.jpg
    1455812347794.jpg
    55.5 KB · Views: 42
Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?

Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.

My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
bas hata ray hiyo ngozi aliipata alivoenda mbele/ mtoni
 
Back
Top Bottom